KERO Kupigiwa kelele na makanisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.

'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Hayo ndiyo machaka ya wanasiasa, hawawezi kuwapiga marufuku kisha kesho wanyimwe majukwaa ya kujitafutia kura.
Vilevile, wahusika wengi hatuishi nao huku Madongo Kuinama kwenye kelele, hivyo, hii changamoto si SHIDA ZAO!
 
Na wale wa makobazi waache kupiga adhana .... Kila mtu si anajua muda wa Swala!??
Adhana haikeshi...

Japo wale wa kuamsha watu kwa maneno ya vitisho nao wakome na waheshimu imani, usingizi na ratiba za wasioamini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…