Hao ni Matapeli! Wakristo wa Kweli Yesu alishawaambia hivi :Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.
'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Kwa wewe sawa unafaa shemπEti wamejiapiza Rais mwanamke never again π
Nimekununia bana sitaki!
π hapo ni mchungaji na kondoo wake anaowaandaa kuwala.Kelele hizo chungulia ndani utashangaa maajabu ya Mussa watu wapo watatu ila hizo kelele πππ
Nini tena sweetieNimekununia bana sitaki!
Washaurini ndugu zenu
Kuna moja lilikuwepo mtaani kwetu yaani ukisikia hizo kelele utasema ndani kuna nyomi ya watu,Siku hiyo nikasema ngoja niende nikachungulie maana hizi kelele kama mbuzi ana chinjwa heee kumbe wako watatu kanisani πππππ hapo ni mchungaji na kondoo wake anaowaandaa kuwala.
Ndio wanakuwaga hivyo kwenye makanisa yao ya mabati yenye mlango wa gunia.Kuna moja lilikuwepo mtaani kwetu yaani ukisikia hizo kelele utasema ndani kuna nyomi ya watu,Siku hiyo nikasema ngoja niende nikachungulie maana hizi kelele kama mbuzi ana chinjwa heee kumbe wako watatu kanisani ππππ
Shika raba sendooo wacha mnyonyoooUkiwauliza watakuona mpinga kristo na una pepo mchafuππ
Kama ulikuwepo mkuu hata hili pia ni hivyo hivyo na mchungaji wao ni mkongo ππNdio wanakuwaga hivyo kwenye makanisa yao ya mabati yenye mlango wa gunia.
Makanisa yao mengi ni ya hivyo, ukipita jirani wanakuita ujumuike nao.Kama ulikuwepo mkuu hata hili pia ni hivyo hivyo na mchungaji wao ni mkongo ππ
Umenikumbusha kuna kanisa hapa karibu yangu mkesha ni kila jumamosi yaan show show kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku kuelekea 9 ndio wanafunga kanisa sio mchezo kabisa kesho hapa maeneo Yesu anakua anapiga misele Muda wote ni Yesu Yesu Muda woteHii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.
'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Na wakianza leo Ijumaa hadi Jumatatu alfajiri, Pastor amekusanya sadaka, waumini wako hoi hiyo Jumatatu hawana hata nguvu ya kufanya kazi Jumanne wanaanza upya kutafuta sadaka ya mwisho wa wikiHii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.
'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Shem utaniponza! πKwa wewe sawa unafaa shemπ
Yesu atakuwa anapiga misele mitaa yenu. Mtoe na moko becha asije kukusahau huko kwaoUmenikumbusha kuna kanisa hapa karibu yangu mkesha ni kila jumamosi yaan show show kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku kuelekea 9 ndio wanafunga kanisa sio mchezo kabisa kesho hapa maeneo Yesu anakua anapiga misele Muda wote ni Yesu Yesu Muda wote