BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni dokta uchwara wa hapo muhimbili nikamfuata kumuuliza hili swala limekaaje akashindwa kunijibu vizuri.
Nilimuuliza maswali kadhaa. Kwanza, nijuavyo mimi, huko kwenye utumbo mpana, kinyesi kikipita kinazoa na mauchafu yote ikiwemo shahawa kama zimo.
Lakini pili, utumbo mpana au kinyeo havina kapu la kuhifadhi uchafu. Uchafu unakaa kwa muda unapita na kutoka.
Nikamuuliza, hili kapu la shahawa lililopo kwenye utumbo mpana ambalo ni lazima lipigwe bomba linafanya kazi vipi?? Hakunijibu.
Wale wajuzi wa mabomba natumai mpo humu. Mtufahamishe haya mabomba yanafanyaje kazi.