dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Umewahi kumpiga mtu bomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Umewahi kumpiga mtu bomba?
Unamaanisha adriz the nutcracker?Rafiki yako MUFTI MAFUTA yuko wapi?
Kumbe ndio hili dubwana??Bomba kuna hadi makabila yalikua yanafanya hivyo zamani kwa watoto wakipata matatizo ya tumbo,
Ninachojua inatumika na wanaopenda michezo ya tigo, kujisafisha kabla na baada ya tendo....
Afu kidude chenyewe si kiko hivi mbona kinaitwa bomba? Au nimechanganya?
View attachment 2838611
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBasi nijibu wewe dokta.
Hili swala liko namna gani?
Umewahi kumpiga mtu bomba?
Marahaba.Hujambo
Nimewahi kufanya but haikuwa kwa ajili ya unachofikiri...Basi nijibu wewe dokta.
Hili swala liko namna gani?
Umewahi kumpiga mtu bomba?
Usiogope nenda ili uache liwatiHuko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni dokta uchwara wa hapo muhimbili nikamfuata kumuuliza hili swala limekaaje akashindwa kunijibu vizuri.
Nilimuuliza maswali kadhaa. Kwanza, nijuavyo mimi, huko kwenye utumbo mpana, kinyesi kikipita kinazoa na mauchafu yote ikiwemo shahawa kama zimo.
Lakini pili, utumbo mpana au kinyeo havina kapu la kuhifadhi uchafu. Uchafu unakaa kwa muda unapita na kutoka.
Nikamuuliza, hili kapu la shahawa lililopo kwenye utumbo mpana ambalo ni lazima lipigwe bomba linafanya kazi vipi?? Hakunijibu.
Wale wajuzi wa mabomba natumai mpo humu. Mtufahamishe haya mabomba yanafanyaje kazi.
Scientific facts!Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni dokta uchwara wa hapo muhimbili nikamfuata kumuuliza hili swala limekaaje akashindwa kunijibu vizuri.
Nilimuuliza maswali kadhaa. Kwanza, nijuavyo mimi, huko kwenye utumbo mpana, kinyesi kikipita kinazoa na mauchafu yote ikiwemo shahawa kama zimo.
Lakini pili, utumbo mpana au kinyeo havina kapu la kuhifadhi uchafu. Uchafu unakaa kwa muda unapita na kutoka.
Nikamuuliza, hili kapu la shahawa lililopo kwenye utumbo mpana ambalo ni lazima lipigwe bomba linafanya kazi vipi?? Hakunijibu.
Wale wajuzi wa mabomba natumai mpo humu. Mtufahamishe haya mabomba yanafanyaje kazi.
lugha ngumu umetumia ila itakua ndo hivyoKumbe ndio hili dubwana??
Kwahiyo unajaza maji kwenye hilo puto halafu unayashindilia kwenye kinyeo?
Baada ya hapo utumbo unang'ara? Mavi yakija tena unashindilia??
Mkuu, unapotaka, ama kuhitaji elimu fulani, mhusika huwa umelenga unufaike nayo.Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni dokta uchwara wa hapo muhimbili nikamfuata kumuuliza hili swala limekaaje akashindwa kunijibu vizuri.
Nilimuuliza maswali kadhaa. Kwanza, nijuavyo mimi, huko kwenye utumbo mpana, kinyesi kikipita kinazoa na mauchafu yote ikiwemo shahawa kama zimo.
Lakini pili, utumbo mpana au kinyeo havina kapu la kuhifadhi uchafu. Uchafu unakaa kwa muda unapita na kutoka.
Nikamuuliza, hili kapu la shahawa lililopo kwenye utumbo mpana ambalo ni lazima lipigwe bomba linafanya kazi vipi?? Hakunijibu.
Wale wajuzi wa mabomba natumai mpo humu. Mtufahamishe haya mabomba yanafanyaje kazi.
WAHA njooni hapa mtusaidie.Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni dokta uchwara wa hapo muhimbili nikamfuata kumuuliza hili swala limekaaje akashindwa kunijibu vizuri.
Nilimuuliza maswali kadhaa. Kwanza, nijuavyo mimi, huko kwenye utumbo mpana, kinyesi kikipita kinazoa na mauchafu yote ikiwemo shahawa kama zimo.
Lakini pili, utumbo mpana au kinyeo havina kapu la kuhifadhi uchafu. Uchafu unakaa kwa muda unapita na kutoka.
Nikamuuliza, hili kapu la shahawa lililopo kwenye utumbo mpana ambalo ni lazima lipigwe bomba linafanya kazi vipi?? Hakunijibu.
Wale wajuzi wa mabomba natumai mpo humu. Mtufahamishe haya mabomba yanafanyaje kazi.
Hata mimi nilijua ni bomba kama lile la kukingia maji.Afu kidude chenyewe si kiko hivi mbona kinaitwa bomba? Au nimechanganya?
View attachment 2838611
Mama tanzaniaScientific facts!
From further literature Review in my academic safari!
Kupigwa Bomba Kwa lugha za kihuni,Kwa baadhi ya lugha kama wanyamwezi wanaita kapembe kitaalamu wanaita Enema!!
Ni process ya kuondoa uchafu kwenye rectum, store ya uchafu kabla haujatoka pale Huwa Kuna mabaki pale nsio Yale Huwa unaharisha sana ukipata maambukizi ya kuhara damu,Huwa unaachia uharo Kwa Kasi ya fast jet!!
Sasa!kienyeji Huwa wanachanganya na dawa za mitishamba au majani Kwa watu ambao hupata choo kwa shida Santa au tumbo kujaa gesi na kukosa hamu ya kula Enema hutumika!!
Kitaalam Wanatumia dawa maalum na kuingizwa Kwa njia ya haha kubwa baada ya muda ni jet una hara kama huna akili nzuri!!!
Kwa waathiriwa wa ushoga pia hufanyiwa kuondoa Any traces of sperm ambazo huwasababisha muwasho mkali unaotokana na Bacteria kuzishambulia hizo sperm,zikikosekana hizonspem ndio muwasho wa shoga huzidi na kutafuta dume la kumwingilia Ili kuwatuliza wale Bacteria!!mashoga Huwa wanatoa na Hela kabisa kwa ajili ya Hilo!mf.mheshimiwa Fulani ambae mstaafu was ubunge maeneo ya pande fulanj alikua anawahonga hadi wachoma chips!!
Enema,kapembe,pigwa Bomba!!!!
Ni hivyo!!
Yeah uko sawa mkuu Hospitali ni kwa ajili ya Constipation inaitwa Enemalugha ngumu umetumia ila itakua ndo hivyo
kuna makabila zamani walikua wanatibia watoto tumbo hivyo, labda huko hospitali itakua inatumika kwenye matatizo ya tumbo pia
View attachment 2838615
DR Mambo Jambo Dr Restart is this medically verified?Kwa waathiriwa wa ushoga pia hufanyiwa kuondoa Any traces of sperm ambazo huwasababisha muwasho mkali unaotokana na Bacteria kuzishambulia hizo sperm,zikikosekana hizonspem ndio muwasho wa shoga huzidi na kutafuta dume la kumwingilia Ili kuwatuliza wale Bacteria!!