Kupigwa bomba haja kubwa kunasaidia nini?

Kumbe ndio hili dubwana??

Kwahiyo unajaza maji kwenye hilo puto halafu unayashindilia kwenye kinyeo?

Baada ya hapo utumbo unang'ara? Mavi yakija tena unashindilia??
 
Basi nijibu wewe dokta.

Hili swala liko namna gani?

Umewahi kumpiga mtu bomba?
Nimewahi kufanya but haikuwa kwa ajili ya unachofikiri...

Huduma hiyo huwa naitoa kwa ajili ya Watu wenye matatizo ya Constipation na Tunaita ENEMA..

Ila hiyo ya wenye matatizo ya shahawa sijawahi kuona nasikia story mtaani kama wewe natabasamu na kucheka tu
 
Usiogope nenda ili uache liwati
 
Scientific facts!

From further literature Review in my academic safari!

Kupigwa Bomba Kwa lugha za kihuni,Kwa baadhi ya lugha kama wanyamwezi wanaita kapembe kitaalamu wanaita Enema!!

Ni process ya kuondoa uchafu kwenye rectum, store ya uchafu kabla haujatoka pale Huwa Kuna mabaki pale nsio Yale Huwa unaharisha sana ukipata maambukizi ya kuhara damu,Huwa unaachia uharo Kwa Kasi ya fast jet!!

Sasa!kienyeji Huwa wanachanganya na dawa za mitishamba au majani Kwa watu ambao hupata choo kwa shida Santa au tumbo kujaa gesi na kukosa hamu ya kula Enema hutumika!!

Kitaalam Wanatumia dawa maalum na kuingizwa Kwa njia ya haha kubwa baada ya muda ni jet una hara kama huna akili nzuri!!!

Kwa waathiriwa wa ushoga pia hufanyiwa kuondoa Any traces of sperm ambazo huwasababisha muwasho mkali unaotokana na Bacteria kuzishambulia hizo sperm,zikikosekana hizonspem ndio muwasho wa shoga huzidi na kutafuta dume la kumwingilia Ili kuwatuliza wale Bacteria!!mashoga Huwa wanatoa na Hela kabisa kwa ajili ya Hilo!mf.mheshimiwa Fulani ambae mstaafu was ubunge maeneo ya pande fulanj alikua anawahonga hadi wachoma chips!!

Enema,kapembe,pigwa Bomba!!!!


Ni hivyo!!
 
Kumbe ndio hili dubwana??

Kwahiyo unajaza maji kwenye hilo puto halafu unayashindilia kwenye kinyeo?

Baada ya hapo utumbo unang'ara? Mavi yakija tena unashindilia??
lugha ngumu umetumia ila itakua ndo hivyo

kuna makabila zamani walikua wanatibia watoto tumbo hivyo, labda huko hospitali itakua inatumika kwenye matatizo ya tumbo pia
 
Mkuu, unapotaka, ama kuhitaji elimu fulani, mhusika huwa umelenga unufaike nayo.

Swali hili linachefua saikolojia, sasa yaje na majibu yake tena yatutie kinyaa?

Kwani mkuu ulitaka kugundua nini?

Mambo mengine 'kabilia' hii mtu si 'unajigugia' kwenye iko chombo chako cha mawasiliano unapata majibu!

Tukianza kuchambua viungo vingine na yaliyomo, wengine tulivyo na kinyaa twaweza shindwa kula supper. Arrrggh pthuu(emoji ya mate haipo).
 
WAHA njooni hapa mtusaidie.
 
Afu kidude chenyewe si kiko hivi mbona kinaitwa bomba? Au nimechanganya?
View attachment 2838611
Hata mimi nilijua ni bomba kama lile la kukingia maji.

Kumbe ni hili puto! Maji yanashindiliwa kunako, yakiisha anachomoa anajaza tena anashindilia.

Harufu yake lazima uzimie kwa muda.
 
Mama tanzania
 
DR Mambo Jambo Dr Restart is this medically verified?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…