Kupigwa bomba haja kubwa kunasaidia nini?

Bora umesema ukweli, nilikuwa nasubiri utulaghai.

Kumbe yale mambo ya kutolewa shahawa kwenye utumbo mpana ni hadithi tu?

Halafu watanganyika wanapenda sana hili swala la bomba! Huwa nasikia tu, bomba sijui nini!
 
Yule mama Terry sijui yuko wapi
Alikuwaga na tiba pale kwake kurasini
Miaka hiyo ya kuwapunguza watu mafuta mwilini,kuwasafisha
Alikuwa anawapiga bomba moja ya tiba yake
Kuna siku nlikuwa natokea sabasaba
Wakati ule namiliki gari,
Kuna jamaa mmoja na mke wake wakaniambia niwapitie pale maana hali zao syo...poa
Nlipowachukua wakaniambia wamepigwa bomba basi muda wote haja inawajia [emoji1]
Sasa mm si baharia, nkawambia oyaa
Angalieni msichafue gari bana
Nlipowafikisha kwao mitaa ya upanga kila mtu alishuka speed wakaacha wanawahi chooo [emoji1]
Hawakurudi tena kule maana ilikuwa kila wiki lazima wawe wanaenda kupigwa bomba

Ova
 
Asante.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
DR Mambo Jambo Dr Restart is this medically verified?
Nop Not Medically Verified kwa sasa!
Labda miaka ya Baadae..
Medical inadeal sana na Ethics na Ethnics kuliko unavyofikiria..

Na ndo maana siwezi kulazimisha kumvulisha nikabu mwarabu napokuwa kwenye mila za waarabu wakati wa matibabu...

Kama kuna Daktari ana tumia ENEMA Kuondoa Sperm kwenye Rectum anaenda kinyume na maadili..
 
Bora umesema ukweli, nilikuwa nasubiri utulaghai.

Kumbe yale mambo ya kutolewa shahawa kwenye utumbo mpana ni hadithi tu?

Halafu watanganyika wanapensa sana hili swala la bomba! Huwa nasikia tu, bomba sijui nini!
Mkuu Unanichekesha sana Leo naona umeamka na Watanganyika na sisi Watu wa Kangani tusemeje
 
Kabila la wabembe wa Kongo wanaume utaumia Bomba Kwa ajili ya kuimarisha mfumo wa uzazi wa kiume. Na Kuna dawa utumia pia wanasema uondoa tatizo mgongo ama kiuno kuuma na wasifika kwenye tendo.
 
Watu wanajua kujichosha kwa hiyo before and after wanajisafisha
Kazi kweli kweli!!πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…