Ukiondoa habari za ENEMA , basi mleta mada umenirudisha mbali kidogo huko Sumbawanga katika kata ya KIRANDO kwenye mtaa wa mtakuja .
Niliwahi shuhudia mtu akiwekewa bomba sehemu ya haja kubwa kwasababu alikuwa na homa ya malaria kisa cha kufanya hivyo wanadai wana dawa zao zinamtibu mtu hivyo dawa zinawekwa kwenye chupa yenye hilo bomba ambalo mtu anawekwa kichwa chini miguu juu ili hiyo dawa imuingie kupitia kwenye haja kubwa .
Then wakadai ni tiba nzuri kwa watoto na wazee wa rika .