rindi na mtwara ni mojawapo ya ngome za cuf. cuf wamekilaumiwa na serikali kwamba wanchochea fujo mtwara. hata hivyo wafuasi wa cuf wamekuwa wakipigwa na jeshi la wananchi bila huruma.cuf wamekuwa wakilalamika bila mafanikio. je sababu nini kilio chao hakisikilizwi cha kutendewa vibaya na jeshi? kosa la cuf nini nini mpka hakuingwi mkono wa makundi mengi ya kiraia na watu binfsi katika kuwatetea mtwara pamoja na kupigwa? toa ushauri na malekezo kwa cuf
Kama walikosea wakashangilia basi hakuna sababu ya kufanya kosa hilo tena.Wananchi wa Mtwara haijalishi wanaitikadi gani ya Chama/siasa au dini gani bado wanabaki kuwa WATANZANIA wanaostahili heshima na kulindwa dhidi ya uonevu wa aina yoyote.Ni jukumu letu sote kuweka itikadi zetu pembeni na kuusemea utanzania wetu.Tupinge kwa nguvu zote hii hali ya polisi au jeshi kupiga raia.