kupigwa kwa afuasi wa cuf mtwara ni haki?

sad

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
294
Reaction score
39
rindi na mtwara ni mojawapo ya ngome za cuf. cuf wamekilaumiwa na serikali kwamba wanchochea fujo mtwara. hata hivyo wafuasi wa cuf wamekuwa wakipigwa na jeshi la wananchi bila huruma.cuf wamekuwa wakilalamika bila mafanikio. je sababu nini kilio chao hakisikilizwi cha kutendewa vibaya na jeshi? kosa la cuf nini nini mpka hakuingwi mkono wa makundi mengi ya kiraia na watu binfsi katika kuwatetea mtwara pamoja na kupigwa? toa ushauri na malekezo kwa cuf
 
Maelekezo ya bwana Pinda ni haya: WAPIGWE TU. So hao poliCCM wanafuata maagizo ya waziri mkubwa.
 
CUF ilishangilia sana bungeni Pinda aliposema Wapigwe tu! Wakidhani wanakomoa Chadema.Ndiyo maana hata vyombo vya habari vimewapuuza
 
Kwani ule ungangari umeishiwa wp siku hizi hadi wanalalamika hivi? Au waliondoka nao kina Tambwe na Akwilombe?
 
rindi na mtwara ni mojawapo ya ngome za cuf. cuf wamekilaumiwa na serikali kwamba wanchochea fujo mtwara. hata hivyo wafuasi wa cuf wamekuwa wakipigwa na jeshi la wananchi bila huruma.cuf wamekuwa wakilalamika bila mafanikio. je sababu nini kilio chao hakisikilizwi cha kutendewa vibaya na jeshi? kosa la cuf nini nini mpka hakuingwi mkono wa makundi mengi ya kiraia na watu binfsi katika kuwatetea mtwara pamoja na kupigwa? toa ushauri na malekezo kwa cuf

Ina maana tamko la Waziri Mkuu hukulisikia bungeni? Wajeda wanatekeleza! Hakuna kitu cha hatari kama Kiongozi kuropoka....
 
Kama walikosea wakashangilia basi hakuna sababu ya kufanya kosa hilo tena.Wananchi wa Mtwara haijalishi wanaitikadi gani ya Chama/siasa au dini gani bado wanabaki kuwa WATANZANIA wanaostahili heshima na kulindwa dhidi ya uonevu wa aina yoyote.Ni jukumu letu sote kuweka itikadi zetu pembeni na kuusemea utanzania wetu.Tupinge kwa nguvu zote hii hali ya polisi au jeshi kupiga raia.
 
hongera mtoa mada kwa kuliona hili.
Ila inauma sana hivi vitendo wanavyofanya hili jeshi letu kwa raia wake wasio na hatia?
Angalizo; jeshi lisiwe linapendelea upande wa ccm tu pekeyao.
 
Haki iko mbinguni tu mkuu duniani ni sheria tu kwaio kwa kufuata misingi ya sheria inayowaongoza hao waliowapiga hao wanaCUF inawezekana wako sahihi..though i spoke politically but its the whole truth..!!
 
Back
Top Bottom