Hamu ya nini?Anahamu huyo!
Hamu ya nini?
HahahaHamu ya naniliu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele. Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo
Gwajima ni kama alivyokuaga sistaP... Ukimgusa tu lazima akutengenezee singosio kila kitu lazima ujibu gwajima
Hahahaaaaa.....kweli kabisa!Gwajima ni kama alivyokuaga sistaP... Ukimgusa tu lazima akutengenezee singo
hamu ya nini tena?Mungu akutangulie ni jioni sasa.Anahamu huyo!
We umeelewaje hiyo kauli? mie sikuona tatizo na kauli hiyo imejaa hekima.. MTOTO WA DAWA ina maana yake sema ufafanuzi wake tumeelewa tofauti; wenye hekima ya kimungu wameipata loud and clear. USINIULIZE MANA KWA MITAZAMO YETU TUTABISHANA MPAKA KESHO!!Basi sawa .....
Haya maneno haya. .....Mtoto wa dawa. ....
Mungu naomba uwape watumishi wako hekima.