Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

Taifa la kondoo,huendeshwa na serikali ya dubu na mbwa mwitu wenye siri kubwa
 
Kuna interview moja romy jones kafanya na Salama alikuwa anaulizwa ilikwaje ukaingia kwenye kutuma madawa ya kulevya lile jibu lake mpaka leo nakubaliana nae

Alisema mjinga hawezi kutumia madawa ya kulevya ila ukijifanya mjanja unataka kutest kila kitu basi utaingia tu kwenye uraibu wa madawa
Na hata kwenye haya mambo ya mr kuku qnet pamoja na kalyanda wengi ni wasomi ukiwa mjinga kila kitu unaogopa ila wajanja ndo wanapigwa hapa kwenye issue hzi.
Asante sana nimekuelewa na ni kweli, mjinga hawezi kupata maendeleo sababu ya uoga
 
Kupigwa kupo kwingi tu

Kuaminishwa unapendwa kumbe mizengwe tu
Kuaminishwa nyongeza 23% afu ndo vile Tena
Kuaminishwa ni bikra kumbe kapaka malimao
Kuaminishwa ataishi nawe daima ukimwoa anadai talaka Ili mpasuliane Mali
Kuamishwa upo peke Yako kumbe mpo debe
Kuaminishwa unatafutiwa Kaz then unaambulia block
Kuaminishwa yeye ni mtulivu ila unaambulia fungus

Kuaminishwa hajawahi zaa kumbe Watoto wapo Kwa bibi,dada,vituo vya Watoto yatima
Kuaminishwa yeye ni kiongoz Bora kumbe wako Sawa tu tofauti Yao ni jinsi
Kuaminishwa yeye ni mtulivu ila unaambulia fungus a.k.a U.T.I, Kaswende na Gono....
 
Kalynda mpo sehemu mnakula maisha,huku mnatucheki kwambali na darubini,huku mnajisemea wavtz maboya tu
 
Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa.

Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini.

Hivyo hivyo hizi kampuni za investments sijui network marketing lazma mtu atakaekuunga awe mtu wako wa karibu huenda hata kwa msisitizo akakukopesha msingi wa kuingia.

Majamaa yana akili yana,hapa ndio ile kauli TOA PESA UPATE PESA. Mwanzo wa kupigwa mm,nilipigwa kwenye sky investment 10$ 2018 ikaniuma kimtindo muda ukapita,hawa kalynda wamekuja kama kwa kasi ya 5G na mbinu ya mbawa mwitu alievaa ngozi ya kondoo.

Wamekuja na mtaji,wana vielelezo vyote vya serikali,wamepanga ofisi kwenye jengo lenye hadhi,kubwa kuliko wamelipia matangazo kila kona kwenye televisheni na barabarani. Kwanini usiwaamini?.

Tusema mwekezaji alikuja na msingi wa milioni 500 kugharamia vibali na mishahara ya wafanyakazi kwa miezi 3 au 4. Aya akapata members 100k tufanye kamadirio ya chini kila mtu aliwekeza 20k tu.
50000×50000=2,500,000,000-500,000,000 faida 2bls

Binafsi nilingii ila kwa tahadhari,sababu huwa najiuliza swali moja tu. Unaweka pesa unapata faida 4% kila siku akija tajiri akaweka bilioni 2 faida yake kwa siku shilingi ngapi? Bila usumbufu wa TRA manispaa mara kodi ya pango na wafanyakazi kazi gharama za uendeshaji wa biashara. Si kila mtu angewekeza huko?

Hizi kampuni kuwekeza huko ni kama kubet tu,wa kwanza watapiga ila wa mwisho watapigwa tu. Hakuna anaeweza kufanya biashara bila kupata faida.

Kalynda wameondoka watakuja wengine kwa mbinu nyingine mpya na za kuvutia zaidi kama za kweli kabisa na bado watanzania tutapigwa tena. Asanteni na pole yetu tuliojilipua na kula na kusepa.
Cc mrangi
 
Mkuu nchi imefunguliwa awamu ya 4 Deci, awamu ya 6 Kalyanda, nchi ilifungwa sasa tunajionea mambo yaliyokuwa yamefungwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Jamani Kalynda!! Bado kuna wengine wako Kwimba ngudu mkoani Mwanza wanaitwa " Timiza ndoto zako" nao wana nyaraka zote za serikali wakihamasisha pesa inazaa pesa baada ya siku 3 mfano ukiwekeza 100,000 baada ya siku 3 unapata 200,000, nchi huu uhuni na ulaghai umezidi aisee!
Tuache wapige pesa za wajinga kipindi cha Magufuli walikuwa wanashughulikiwa na Takukuru tukaaminishwa Magufuli alikuwa ana wapola pesa wafanyabishara.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukikataa kupigwa klnd utapigwa kwa mwaposa na mafuta ya upako
 
Kuna interview moja romy jones kafanya na Salama alikuwa anaulizwa ilikwaje ukaingia kwenye kutuma madawa ya kulevya lile jibu lake mpaka leo nakubaliana nae

Alisema mjinga hawezi kutumia madawa ya kulevya ila ukijifanya mjanja unataka kutest kila kitu basi utaingia tu kwenye uraibu wa madawa
Na hata kwenye haya mambo ya mr kuku qnet pamoja na kalyanda wengi ni wasomi ukiwa mjinga kila kitu unaogopa ila wajanja ndo wanapigwa hapa kwenye issue hzi.

Hao wamesoma tuu lakini bado wajinga tuu ndio maana wanaamini kwenye kupata pesa kwa kulala tuu
 
Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa.

Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini.

Hivyo hivyo hizi kampuni za investments sijui network marketing lazma mtu atakaekuunga awe mtu wako wa karibu huenda hata kwa msisitizo akakukopesha msingi wa kuingia.

Majamaa yana akili yana,hapa ndio ile kauli TOA PESA UPATE PESA. Mwanzo wa kupigwa mm,nilipigwa kwenye sky investment 10$ 2018 ikaniuma kimtindo muda ukapita,hawa kalynda wamekuja kama kwa kasi ya 5G na mbinu ya mbawa mwitu alievaa ngozi ya kondoo.

Wamekuja na mtaji,wana vielelezo vyote vya serikali,wamepanga ofisi kwenye jengo lenye hadhi,kubwa kuliko wamelipia matangazo kila kona kwenye televisheni na barabarani. Kwanini usiwaamini?.

Tusema mwekezaji alikuja na msingi wa milioni 500 kugharamia vibali na mishahara ya wafanyakazi kwa miezi 3 au 4. Aya akapata members 100k tufanye kamadirio ya chini kila mtu aliwekeza 20k tu.
50000×50000=2,500,000,000-500,000,000 faida 2bls

Binafsi nilingii ila kwa tahadhari,sababu huwa najiuliza swali moja tu. Unaweka pesa unapata faida 4% kila siku akija tajiri akaweka bilioni 2 faida yake kwa siku shilingi ngapi? Bila usumbufu wa TRA manispaa mara kodi ya pango na wafanyakazi kazi gharama za uendeshaji wa biashara. Si kila mtu angewekeza huko?

Hizi kampuni kuwekeza huko ni kama kubet tu,wa kwanza watapiga ila wa mwisho watapigwa tu. Hakuna anaeweza kufanya biashara bila kupata faida.

Kalynda wameondoka watakuja wengine kwa mbinu nyingine mpya na za kuvutia zaidi kama za kweli kabisa na bado watanzania tutapigwa tena. Asanteni na pole yetu tuliojilipua na kula na kusepa.
Mimi niliwahi kupigwa shilingi elfu themanini (1985) kwa ule utapeli wa dhahabu. Baadaye nilikuja kujuwa aliyewezesha hiyo alikuwa school mate wangu (shule ya msingi). Kumbuka elfu 80 mwaka 1985 ilikuwa siyop pesa ndogio. Tangu wakati huo nimekuwa nikijilinda na utapeli. Hizi zilizokuwa zinapita mimi nilkuwa sijihusishi kwa sababu niliamini kabisa hakuna mtu/kampuni yeyote inayoweza kutoa faida kubwa kiasi hicho na ikaendelea ku"survive". Kama uliyosema hapo juu wanakuja na mtaji mkubwa wa kuwaaminisha watu kwa kuwapa faida kubwa, watu wakiisha amini ndiyo wanakuja na ile"knock out blow" na kufunga offisi na kukimbia. Swali la kujiuliza, hiyo pesa yote wanakimbiaje nayo? Wanaipitishaje?
 
Bestbei mtoto wa kalyinda kaja,sahzi wamekuja na rangi ya njano wameona nyekundu mtawashtukia.Kuna groups kumi za wasup mpka sasa
IMG_20221015_002025_132.jpg
 
Mimi niliwahi kupigwa shilingi elfu themanini (1985) kwa ule utapeli wa dhahabu. Baadaye nilikuja kujuwa aliyewezesha hiyo alikuwa school mate wangu (shule ya msingi). Kumbuka elfu 80 mwaka 1985 ilikuwa siyop pesa ndogio. Tangu wakati huo nimekuwa nikijilinda na utapeli. Hizi zilizokuwa zinapita mimi nilkuwa sijihusishi kwa sababu niliamini kabisa hakuna mtu/kampuni yeyote inayoweza kutoa faida kubwa kiasi hicho na ikaendelea ku"survive". Kama uliyosema hapo juu wanakuja na mtaji mkubwa wa kuwaaminisha watu kwa kuwapa faida kubwa, watu wakiisha amini ndiyo wanakuja na ile"knock out blow" na kufunga offisi na kukimbia. Swali la kujiuliza, hiyo pesa yote wanakimbiaje nayo? Wanaipitishaje?
Hakuna kinachoshindikana huenda imegawanywa kwenye account tofauti za wabongo ambao ni wabia wa huo mradi wa mchongo
 
Back
Top Bottom