Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Mambo hayafanyiki kwa mihemko kama unavuodhani!
Kwa hiyo yafanyike hayo kisa Lisu alifanyiwa hiyo!
Who is Lisu mpaka tigo ifanyiwe hivyo?
Juzi hapa maandamano umeona kilichotokea?

Jinsi ulivyoandika tu inaonesha hakuna kitu unaelewa wewe kuhusu privacy policy...
 


..Tigo wanatakiwa waonyeshe kama taratibu za KISHERIA zilifuatwa ktk kutoa taarifa za Tundu Lissu.

..Kampuni inakabiliwa na tuhuma mbaya za kushirikiana na watu wenye nia ovu ya kufanya mauaji ya kisiasa, na ugaidi.
 
Jinsi ulivyoandika tu inaonesha hakuna kitu unaelewa wewe kuhusu privacy policy...
Juzi Mbowe walisema yupo Arusha yaan simu zake zote zilisoma zipo Arusha na Bwana yule mtaalamu wa masuala hayo ndio aliesema kwamba ngoja nikomee hapo sitaki mambo yawe mengi
 
Hili jambo liko wazi kuwa ni serekali ndio ilihusika kwa maagizo ya dhalimu magu.
Alikuwa kiumbe cha mateso zidi ya watanzania, nazani Komwe lake lile ndilo lilipelekea uroho mbaya wake.
 
CCM ni ile ile na watawala wake ni watwana wanapishana Grade na vipaumbeke vya uhuni tu.
 
Habari kama hizi hutoisikia wala kuisoma kwenye chombo chochote cha habari Tanzania. Mods on amelala wakiamka wataifuta
 
Juzi Mbowe walisema yupo Arusha yaan simu zake zote zilisoma zipo Arusha na Bwana yule mtaalamu wa masuala hayo ndio aliesema kwamba ngoja nikomee hapo sitaki mambo yawe mengi
Kumbe kampuni za simu zinavujisha siri za mawasiliano ya wateja wao bila kufuata sheria?
 
Hizi nchi zetu za dunia ya 3 makampuni binafsi hayako huru hayana ubavu wa kuzigomea serikali za nchi hizi wakidaiwa taarifa za wateja wao

Kukosa kwao msimamo huku na kuvujisha siri za wateja wao kunawaharibia biashara na kuwaondolea credibility
 
Tuko nyuma sana kwa technology. Wametupita kwa kila kitu . Mzungu anatuchungulia mpaka ndani ya mapafu, acha vyumbani. Simu ni zao, satellite ni zao, hata savers ni zao, mimi siwabishii.
Wasaudia walimuua mwandishi wa habari kashogi ndani ya ubalozi wao nchini uturuki kisha wakaukatakata mwili wa mwandishi na kuutumbukiza katika pipa la asidi lakini wakaja kushangaa picha zote za tukio lipo wazi na wao walifanya siri sembuse hili ambalo linafanyika nje hadharani. Wanastahi tu kwakuwa na wao wanamaslahi yao humu nchini. Ila ukiingilia maslai yao kama gadafi au sadamu utaona cha mtema kuni.
 
Kumbe kampuni za simu zinavujisha siri za mawasiliano ya wateja wao bila kufuata sheria?
Ulikua haujui hizi kampuni zipo kwa ajili ipi na zipo chini ya nani yaan mwenye mamlaka na kampuni zote ambae hata sasa akikuhitaji kwa kuzitumia hizo kampuni anakupata haumjui?

Rejea yule mzee wa Tanga aliedakwa kwenye gari na wale mabwana wakaondoka nae, tupo kwenye msiba wa mtumishi wa Halmashauri alieungua vibaya akiwa kwenye gari huko Tanga unganisha dots
 
Bado uko na nadharia za yule jinga?
 
Usichokijua ni kwamba "JIKONO JANDAMA" alikuwa "anatrepu" simu za lissu na alisema mwenyewe.

Usichokijua tu ni kwamba Nzirankende alikuwa anapata SMS/Calls na kusikiliza na kusoma sms za watu aliokuwa anatrace yeye...Ndiyo maana voice call za Membe(M.A.P) ,Kinana na meseji za makatibu/mawaziri wanagombana alikuwa nazo.
 
TIGO wamekwisha
Kwa upeo wangu mdogo nadhani kilichofanyika ni kutaka kuiumbua serikali baada ya ile mikwara mbuzi ya Chura kiziwi.

Tigo hana kesi maana Mabeberu wako mbele ya Muda. Kampuni ya Millcom alishajiongeza muda akauza mtandao wa Tigo Kwa Rostam Aziz na huenda hata hawakumuuzia bali waliingia kati na Rostam wakasajili kampuni nyingine Rostam akakaa front kama mmiliki. Akili ni mia.

Ukienda mahakamani huwakuti.

Hao wapuuzi wako mbele ya muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…