Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Punguza bangi basi hebu tuonyeshe jinsi alivyokuwa anatumikana na mafisadi na haki. Wapumbavu wanaokaririshwa na maccm ndio waliovunjika moyo, lakini wote wenye akili timamu hawafurahishwi na watekaji na wauaji wa wakosoaji wa serikali
 
Punguza bangi basi hebu tuonyeshe jinsi alivyokuwa anatumikana na mafisadi na haki. Wapumbavu wanaokaririshwa na maccm ndio waliovunjika moyo, lakini wote wenye akili timamu hawafurahishwi na watekaji na wauaji wa wakosoaji wa serikali
Nenda kamuulize mwenyewe ni kwa nini sasa hivi wana mtukuza jpm hadi wanalilia kwenda kwenye kaburi lake ...ni kwa sababu ukweli wanaujua kuwa walikuwa wanatumiwa vibaya na mafisadi ambao kwa sasa ndiyo wameshika dola
 
Kumbe makampuni ya simu yana support mauji! Juzi kesi ya Kabendera vs Vodacom ilitupiliwa mbali kumbe huenda walimhujuma. Pambaf zao wote
Na mahakama nazo zinatumika, angalia kesi zote dhidi ya wapinzani hakuna anayeshinda. Kumbuka kauli ya Warioba kwenye mkutano wa TCD kuwa waliwahi kutoa maoni kuwa si vizuri spike na jaji mkuu kuwepo kwenye mikutano ya rais.

Hoja ni kwamba viongozi wa mihimili hawatakiwi kukutana zaidi ya siku ya uteuzi
 
Nenda kamuulize mwenyewe ni kwa nini sasa hivi wana mtukuza jpm hadi wanalilia kwenda kwenye kaburi lake ...ni kwa sababu ukweli wanaujua kuwa walikuwa wanatumiwa vibaya na mafisadi ambao kwa sasa ndiyo wameshika dola
Hizo bangi, nani anayemtukuza jpm? Utavaa chupi kichwani. Fisadi gani aliyeshika dola ambaye siyo CCM? Kila uchao wenye akili timamu wanafichua uovu wa huyo mwendazake UWT mmechanganyikiwa
 
Ukweli unatabia
Ya kujidhihirisha wenyewe.

Time reveals everything.

God is greatest 💪
 
Hizi ni hisia za kiuendawazimu, nchi inaendeshwa kwa sheria na katiba kama kuna sheria fulani Lissu amevunja. Kwani Magufuli hakuwa dictator uchwara? Kama amepiga simu onyeesheni na mpeleke mahakamani wauaji nyie.

Kwa hiyo unataka CDM wasiwatetee viongozi wao wanapotekwa, kushambuliwa na kuuawa? Kwako wewe hali hii inakuridhisha?

Pia relate na scenario hii ya TIGO kushtakiwa kwako unaona hawastahili au? Mbona CCM akili zenu finyu? Ila tukisifia viongozi wa CCM kuwa mama anaupiga mwingi wakati anateka na kuua kwako ni sawa?
 

Wewe elewa tu ukijitia kiherehere katika mambo ya national security ata kama wanafanya mambo kinyume na sheria utashughulikiwa; popote duniani.
 
Foolish argument, kwani matendo ya jiwe yalikuwa ni national security zaidi ya personal ambitions? Unapoingia mikataba ya hovyo ambayo inasababisha madeni na fidia kwa taifa ni national security?

CCM imetengeneza vizazi vya hovyo kuanzia wazee wa hovyo kama akina Makamba na Wassira hadi vijana wa hovyo wa kusifu sifu tu.
 
Hizo bangi, nani anayemtukuza jpm? Utavaa chupi kichwani. Fisadi gani aliyeshika dola ambaye siyo CCM? Kila uchao wenye akili timamu wanafichua uovu wa huyo mwendazake UWT mmechanganyikiwa
Kamuulize tundu lissu kwanini anataka kuhiji kwenye kaburi la JPM ...CHADEMA mlitumika kama UKRAINE inavyo tumiwa na wahuni WAMAREKANI dhidi ya URUSI... Chadema kipindi cha JPM mlitumiwa na mafisadi ya ccm dhidi ya jpm na sasa hayo mafisadi yamechukua uongozi yana wachinjeni tu kama mbwa na kuwaoneni kama kinyesi tu. Sema akili hamna hivyo mnashindwa kujua upumbavu wenu.
 
Kwako natural resources za nchi sio swala la national security au hata maswala ya uchumi?

Ndio maana uwa nasema anahitajika mtu wa kunyoosha mpaka akili zenu zikae sawa.
 
In the context of human rights, national security/interest override or supersede all rights.
 
CDM wana blind support lakini wewe una foolish support, hatutaki hisia za kipuuzi ili kujrnga hoja ya maana, kiongozi wa CDM hawezi kufanya upuuzi huo na akavumiliwa ndio maana wajinga wote wanakimbilia CCM kama akina Msigwa.

Sakata la Mnyika ndio limeonyesha upumbavu mkubwa wa jeshi la watekaji la CCM, siku zaidi ya 14 toka Ali Kibao auliwe kikatili jeshi la polisi halina hata mtuhumiwa mmoja, miaka 7 toka Tundu Lissu ashambuliwe hakuna hata mtuhumiwa mmoja amekamatwa na wewe umeonyesha kuwa ni serikali ndio mtuhumiwa mkuu kwa kusema Lissu alikuwa anahatarisha usalama wa nchi.

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM alitoa post eti kushangazwa na Mnyika kuwa wa kwanza kutoa taarifa ya kutekwa kwa Kibao, na polisi wanataka kufanyia kazi ili wamkamate maana wamhisishe akae ndani muda mrefu sababu kesi za mauaji hazina dhamana.

Sativa alitekwa akapelekwa katavi na kupigwa risasi akafanikiwa kupona, amemtambua mtekaji wake ni afisa wa pilisi Mafwele. Hajakamatwa na wale wenye ushahidi wa Mafwele ndio wanaokamatwa na kufunguliwa kesi kwa kuzungumzia kutuhumiwa kwa polisi kama wanavyofanya kwa Boni yai.

Halafu kuna mjinga wa CCM anataka kuaminisha wenye akili timamu polisi wa kuaminika Mnyika aende tu, mbona huzungumzii tuhuma za polisi kuteka na kuua za Sativa?

CCM imetengeneza wajinga kama wewe hivi viongozi wa CCM na polisi wako sawa ila viongozi wa CDM ndio wenye makosa? You have to be mad
 
Kwa na natural resources za nchi sio swala la national security au hata maswala ya uchumi?

Ndio maana uwa nasema anahitajika mtu wa kunyoosha mpaka akili zenu zikae sawa.
Natural resources zinazotumika kwa manufaa ya kakundi kadogo cha wezi wa CCM nyie nani anayetakiwa kuwajibishwa kama siyo nyie majizi na wapumbavu mnaotaka kutetea wezi?

Wewe ukisema sababu ni juha haina shida ila Muumba ndio anaanza kuwaumbua nendeni mkampe maelekezo na huyo hakimu uingereza msizidi kudhalilika
 
hebu lissu atueleze kama kweli alikuwa anatoa siri au alikuwa anadate tu na mademu
 
Wewe hujasoma story unatoa maoni mfu tu.
AU LA HUJUI KUSOMA
 
Hayo makampuni ya simu yangekuwa yamefanya la maana sasna kama yangetoa taarifa za mafisadi kama hawa waliotajwa na CAG naamini hizi peza zilizungushwa na kugawanywa katiak account zao za simu maana kama watu wanakusanya bilioni 6 na zinaiishia mifukoni mwa watu halafu hapo mtasema Lissu ndio anatumika na mabeberu ?

Mnavyoenda kutembeza kitambaa cha msaada huwa wanageuka majogoo sio mabeberu au?

Sasa wewe unasema Lissu alikuwa anatumika na mabeberu kumbe ni washauri wenu vilaza waliosaini mikataba mibovu ya mibovu , mmekuja kushtuka ndio mnataka mvunje kwa papara mkashauriwa mtulie hamkusikia.

Ndege ya Tanzania kukamatwa South Africa chanzo ni Lissu ?


Kwa kesi kama hizi mahakama za kimataifa utasema Lissu ndio chanzo ?

 
As it stands that's the case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…