Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

This is bad, so baad
 
Tuko nyuma sana kwa technology. Wametupita kwa kila kitu . Mzungu anatuchungulia mpaka ndani ya mapafu, acha vyumbani. Simu ni zao, satellite ni zao, hata savers ni zao, mimi siwabishii.
Ndio,tuambie Imeandikwa nini?
Who is the culprit?
Tena wanamtaja baada ya Lissu kuwa arrested.
Bila shaka wanataka kumshikisha adabu huyu culprit
 
Tatizo wajiriwa wengi wa uko ni form 4 failure unategemea nin ? 😃
 
Huyu Lissu sio mjinga,hii toka toka ya kwenda Ubelgiji uwa kuna vitu anafuatilia sio bure……….

Kuna nyakati Mungu,kwa makusudi kabisa anaruhusu mtesi wako akutese apendavyo Ila hawezi kuruhusu ufe,sio kwa sababu hakupendi la hasha!!! Ila anataka kupitia kwako ajidhihirishe ya kuwa hakuna mkubwa kuliko mwingine kwenye hii dunia………..rejea habari ya Ayubu na shetani,Daudi na Goliath,Mussa kwa farao NK.

Kupitia LISSU ndio tunapata ile dhana ya Mungu ndani ya mtu
 
Wakati Magu alipozungumza kuhusu “usaliti”, ni kama alisema alisikiliza hayo mazungumzo.

Lakini sikufahamu kama ni kampuni ya tigo ilishirikiana na serikali kufuatilia mazungumzo ya Lissu pamoja na mahali alipo bila yeye kufahamu. Mimi nilidhani ni wana tiss walimdukua.

Hapa Lissu anaweza kuishitaki kampuni ya tigo.

Kama walishiriki kufanya hivyo bila kibali cha mahakama kuwa wanafanya uchunguzi ambao kuna ushahidi wa wazi kwamba Lissu alikuwa kwenye hatua za kufanya uhalifu, na kwamba udukuzi huo unaweza kusaidia kama ushahidi mahakamani, basi kampuni hiyo inaweza kushitakiwa na watu wakavuta mpunga mrefu sana tu.

Pia kwasababu tayari serikali ndo ilikuwa ikituhumiwa kumfanyia Lissu uhalifu wa kutaka kukatisha maisha yake kikatili, hapa hata kampuni ya tigo imeshiriki uhalifu huo.
 
Serikali ya Tanzania kupitia raisi Samia Suluhu Hassani tunaomba mkae nchi tuyamarize dunia kama kijiji, tusije tukavuana nguo hadharani.
Aliyetangulia ametangulia tu, kuna mmoja alijisahau sana akajiona yeye ndiye yeye, matusi kibao akajizungushia walinzi haijawahi kutokea. Teka sana watu!m, ua sana,, blackmailing jwa sana.

Kumbe watu walikuwa wamemuwekea pager mwilini, walipoona anazidi kujitia wazimu watu wakaitekenya tu ile pager ikawa the end of the story, sasa hivi huyu naye ameanza kujitia amekia, subiri wamfurahishe.
Story za huyu wa sasa za kuingia UK kwa lift ya Mpemba wa CUF kipindi kile cha machafukobya zanzibar na kuishi kama asylum seeker enzi za CUF soon zitakua mitaani.
 
September 7 2017 Tundu Lissu alimiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake kwenye makazi ya wabunge na mawaziri mjini Dodoma,huku risasi 16 zikimpata sehemu mbali mbali mwilini.

Miaka kadhaa baada ya kupita pasi na serikali wala jeshi la polisi kusema wahusika ama kutoa aripoti ya tukio imepita kimya,ila hatimae ukweli umeanza kujulikana.

Wiki hii huko nchini uingereza Afisa mmoja kwa jina la Michael Clifford ameeleza mahakamani kupitia wanasheria wake namna gani Tigo walishiriki kufanikisha shambulizi hilo. Haya yanaanza kujulikana baada ya Afisa huyo kufanyiwa visa vya kuondolewa kazini baada ya kufanya uchunguzi namna gani Tigo walishirkiana na mamlaka za utawala za Tanzania kuwezesha Lissu kufuatiliwa na hatimae kushambuliwa.

Naomba kuambatanisha sehemu chache ya taarifa hiyo


Taarifa zaidi ipo kwenye gazeti ya la The Guardian Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal hears.

Kupatikana kwa taarifa hii pengine sasa ni muda wa serikali na tigo kutoka hadharani na kutoa ufafanuzi kwani wananchi wamekua wakiambiwa kua ni matukio ya watu wasiojulikana.

Watetezi wa haki za watu ni muda muafaka wa kuomba Tigo Tanzania wajitokeze na waseme watu gani waliwatuma,muda muafaka kwa Mheshimiwa Lissu pia kuifungulia tigo kesi na ikiwezekana kuomba shughuli zake zifutwe Tanzania kwani wanafanya matendo ya kigadi kwa Watanzania na Watanzania wapo hatarini maisha yao!!

Pameanza kuchangamka

Tutaelewana tu hata Kwa kuchelewa

Mie sipendi habari za <TIGO>

Yote yafanyikayo gizani yatafichuka hadharani.

Bado Mungu yupo serious na kazi yake.


Mie sipendi habari za <TIGO>
Mshangazi

Mie sipendi habari za <TIGO>

Za voda vipi?!!

Unafahamu kua Erick Kabendera nae alitekwa kwa msaada wa Vodacom?!

N
Pameanza kuchangamka
Ngoja tuone jeshi letu la polisi litasemaje na Waziri wa Mawasiliano kama atajitokeza.

Hii ni moja ya kashifa kubwa sana, wasiojulikana naona wanaanza kujulikana!!

Kupigwa kwa msaliti siyo habari

Ulutusaliti kama taifa ,alifaa kuuwawa kabisa

USSR

Hawa ndiyo wazungu. Hawapokei rushwa. Jamaa kalisanua. Mungu akupiganie Lissu.

Serikali ya Tanzania kupitia raisi Samia Suluhu Hassani tunaomba mkae nchi tuyamarize dunia kama kijiji, tusije tukavuana nguo hadharani.

View attachment 3105605
Kuna mmoja alikuwa anajifanya ni mbabe kweli, kila uchao yeye ilikuwa ni kuua na kuteka watu huku wengine akiwa blackmail. Akiambiwa anaanza kuwatukana na kuwatishia hao wanaomwambia.
Akajizungushia ulinzi wa kila aina, hadi katika msafara wake ikabidi wamuongezee helicopter.
Akasahau kwamba jamaa walimuuzia 'pager' na ndiyo anayoitumia kufanya mawasiliano yake. Jamaa walipoona kuwa huyu sasa akili zimeshamruka, wakaamua kuitekenya tu ile pager, watu wakaimba parapanda.
Huyu mwingine asubiri story yake akitumia upemba wake alipodandia lift ya CUF na kuungana na CUF wenzake kuomba asylum UK

Sasa mara unasema mtu hana mamlaka, mara hana sababu. Point ni mamlaka na sababu au point ni wewe kujulikana uko wapi.
Kwahiyo ukijua niko wapi ndiyo umejua content za mawasiliano!?

The owner of the network.
Now, Telegram is making some changes in an effort to reduce criminal activity on the platform, Durov said Monday in a post on the app. Chief among them: Telegram has updated its terms of service and privacy policy to note it will hand over the IP addresses and phone numbers of users who violate its rules to authorities in response to “valid legal requests.”

KEYWORDS: VALID LEGAL REQUESTS.


Waliotaka kumuuwa Lissu wenyewe bado wako na ndo kundi hilo hilo limemuuwa Kibao na kuteka kina Soka.

Serikali ni ile ile.

Hii mitandao Sasa utakuja kufirisika kwa kuwalipa Wahanga!

Jamani Jamani

Aibu kubwaa

Hizi propaganda za stone age bado mnaamini zinafanya kazi miaka hii? Wazungu wanatoa pesa kwa vikundi vya kwenda msituni, sio hao wanasiasa wanaosubiri kuomba vibali polisi ili kuandamana.

😂😂🤣🤣🤣 super power wameanza nilijua tu ukiwa abuse hawajamaa lazima watafichua madudu ya serikali yako kuku threat.. mamlaka isipo kuwa makini soon mabeberu yanaweza vujisha clip zakuuwawa kwa mzee kikofi

Mbona jamaa Clifford keshayasema yote hayo. Tigo walishiriki. Hii case tamu sana.

"Attempeted Political assassination and Terrorism"


Ulutusaliti kama taifa ,alifaa kuuwawa kabisa

USSR
Unaweza kutusaidia kutujuza usaliti wake ni upi?!!

Kupigwa kwa msaliti siyo habari
Wewe ni K kama ulipotokea

😂😂🤣🤣🤣 super power wameanza nilijua tu ukiwa abuse hawajamaa lazima watafichua madudu ya serikali yako kuku threat.. mamlaka isipo kuwa makini soon mabeberu yanaweza vujisha clip zakuuwawa kwa mzee kikofi
Wewe ndio unaleta vitisho sasa

Watavuna walichopanda

Lilikua ni suala la muda tu, bado footage za cctv camera zilizoondolewa kinyemela

Ipo hiyo,nishakua idara kàmpuni Moja ya simu ambapo kujua location,namba alizopiga na kupigiwa,muda walioongea n.k
Sema kutoa Siri za mteja ni kosa baya Sana ,na tulisisitizwa hivo.

Aya za Qur'an:Surah At-Tariq (86:9-10): "Siku ambayo siri zitafichuliwa, basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi."
(Qur'an 86:9-10)Hii inaonyesha kuwa kwenye Siku ya Mwisho, siri zote za watu, iwe ni za matendo au nia, zitadhihirishwa.
 
izo n stori za vijiwen kwamba jamaa wako vizuri ila ukija kwenye ukweli jamaa n weupe sana zaidi ya umbea hawana inshu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…