Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Kwahiyo ukijua niko wapi ndiyo umejua content za mawasiliano!?

..huenda walifuatilia location na content ya mawasiliano.

..kinachotakiwa kufuatilia ni nani ktk mamlaka za serikali aliomba data za simu ya Lissu toka kwa Tigo.

..pia nani walikuwepo ktk group la whatsapp ambako data za simu ya Lissu zilikuwa zinawasilishwa.

..wakipatikana wachunguzi wazuri tunaweza kuwajua mapema sana waliohusika kumshambulia Tundu Lissu.
 
Mbona Kabendera alifungulia Voda kesi ha kuvujisha Mawasiliano lakini wakaitupilia mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…