Inategemea na ukubwa wa familia. Kama upo mwenyewe kula kwa mama ntilie ni cost effective. Pia bei ya kwa Mama Ntilie inategemea. Ikiwa around 2000 kula Kwa mama ntilie unaokoa muda wa kuosha vyombo, kupika etc. Pia kuna socialization yenye faida kwa mama ntilie.
NB; Uwe bachelor
Mhhh, unataka kumwingiza kwenye matumizi makubwa ya pesa, badala ya kupata hyo faida ya kupikiwa na kuoshewa vyombo atajikuta anaongeza na pesa ya biashara Ila kutaka a tena ni kubwa tu..Kama wewe mwanaume usihangaike,tafuta mama ntilie mtongoze akikubali utaishi maisha yenye raha mstarehe hautajuta,ila ukishindwa kufanya hivyo kupika mwenyewe ni kusev pesa kuliko kununua
Sent using Jamii Forums mobile app