Kupima HIV baada ya miezi 3

Kupima HIV baada ya miezi 3

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
wasalaam
Ndugu zangu habari ya jumapili Leo Nina swali mdogo wenu, kwanza kabisa tarehe 2 mwezi wa 9 mwaka huu nilishiriki tendo (NILITUMIA KINGA) na binti baadae alinambia kaathirika + HIV baada ya kupata taarifa hizi nilifadhaika sana......

HATUA ZA UPIMAJI NILIZOPIMA.
Siku 14- NEGATIVE
Siku 21-NEGATIVE
Siku 28-NEGSTIVE
Mwezi 2-NEGATIVE
Mwezi wa 3- bado...

Sasa wakuu kuna haja ya kupima tena mwezi huu kukamilisha miezi mitatu
 
Kwa nnavyojua moto ukiingia haudanganyi, huo mwezi lazima utaumwa. Kama umetumia kinga chance ya kupata moto ni ndogo (if any), kumbuka ili moto upatikane lazima kue na michubuko pande zote. Bila shaka upo salama mkuu, sema unaeza tu pima huo mwezi wa 3 ili kujiridhisha
 
wasalaam
Ndugu zangu habari ya jumapili Leo Nina swali mdogo wenu, kwanza kabisa tarehe 2 mwezi wa 9 mwaka huu nilishiriki tendo (NILITUMIA KINGA) na binti baadae alinambia kaathirika + HIV baada ya kupata taarifa hizi nilifadhaika sana......

HATUA ZA UPIMAJI NILIZOPIMA.
Siku 14- NEGATIVE
Siku 21-NEGATIVE
Siku 28-NEGSTIVE
Mwezi 2-NEGATIVE
Mwezi wa 3- bado...

Sasa wakuu kuna haja ya kupima tena mwezi huu kukamilisha miezi mitatu

Malizia tu mkuu uwe na hakika
 
Dah pole sana kwa stress mzee. Lakini lazima upime mwezi wa tatu pia. Na hongera kama kweli ulitumia ndom.

Kipindi cha mpito unahisi ushakonda tayari na haupendi mijadala inayohusu moto.
 
Mimi nakushauri upime hadi baada ya miezi 6-9. Lakini kwa interval ya miezi mitatu mitatu

i.e.. Mwezi 1
Miezi 3
Miezi 6
Na hata..
Miezi 9

Asante na Karibu.
 
Kuna kitu kinaitwa carrier of disease ,huwa nasikia mtu mwenye hyo tendency huwa haoneshi dalili za ugonjwa, lakini je, akipimwa Kwa kutumia SD-bioline kipimo kitaweza kubaini ugonjwa au pia kitatoa neg?
Naomba kusaidiwa
 
Back
Top Bottom