Kupima ni ishu nyie

Natamani ningekuona sura yako D sekunde chache kabla ya kupewa majibu. Bila ya shaka ulizeeka ghafla na sura kujaa hofu kubwa. 😵😵😵
Ungenipenda bure sikua na hofu kabisa,,mimi sipendi mtu anilazimishe kupima,ila kupima mwenyewe tu fresh,,kuna jamaa mmoja alinipimaga kwa nguvu sikupenda kabisa,nilikua nimeenda hospital kwa mishe tu zingine akanipima kwa nguvu nikakubali tu ili ardhike,,mkojo uligonga chupi aisee baadae majibu akanipa niko poa tu
Nashangaa safari hii sijaogopa kabisa deception anafanya kazi kubwa hahahaha
Kingine sipendi kupima kwenye ushauri mwingii,sipendi kabisa na siendi
 
Hahahahaha lol! Eti mkojo uligonga chupi🙂🙂🙂
Wet picchu kwa uoga 🙂🙂🙂

 
Hahahahaha lol! Eti mkojo uligonga chupi🙂🙂🙂
Wet picchu kwa uoga 🙂🙂🙂
Alaaa ,,mara ya kwanza kabisa kupima HIV nilikimbiaga majibu hhhaaaaaa we acha tu
Halaf kipindi hicho hata sijakubuhu
 
Reactions: BAK
Lol! Eti hujakubuhu hahahahaha lakini PP si ulishawapa njemba wakafanya yao? Ndiyo sababu ukakimbia ati!!! Siku hizi umekubuhu mwenyewe.

Alaaa ,,mara ya kwanza kabisa kupima HIV nilikimbiaga majibu hhhaaaaaa we acha tu
Halaf kipindi hicho hata sijakubuhu
 
Kwani na wew ni mzee wa dry mpaka uogope?
 
Ulipita sehemu hatarishi ukaogopa labda kuna miba miguuni hujaisikia? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapana kabisa sijapita sehemu
 
Lol! Eti hujakubuhu hahahahaha lakini PP si ulishawapa njemba wakafanya yao? Ndiyo sababu ukakimbia ati!!! Siku hizi umekubuhu mwenyewe.
Hhhhaaa acha tu,,,kuna kipindi flan nilichafua chafua,,lakin nilitumia ndom mara nyingi,,ila nashangaa tu now siogopi kama zamani
Halaf mim kuna sehemu kichwa hua kinakataa kabisa kuonja,na hiyo hunisaidia sana nadhani
PP ndio wapi? Aaaa we mwehu kweli hapana bana sijachafua wewe kule na wala sijapakimbia haizidi jemba tatu tu
 
Hongera sana, sasa inabidi upime tena uwe na uhakika zaidi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…