Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
- Thread starter
- #81
Ungenipenda bure sikua na hofu kabisa,,mimi sipendi mtu anilazimishe kupima,ila kupima mwenyewe tu fresh,,kuna jamaa mmoja alinipimaga kwa nguvu sikupenda kabisa,nilikua nimeenda hospital kwa mishe tu zingine akanipima kwa nguvu nikakubali tu ili ardhike,,mkojo uligonga chupi aisee baadae majibu akanipa niko poa tuNatamani ningekuona sura yako D sekunde chache kabla ya kupewa majibu. Bila ya shaka ulizeeka ghafla na sura kujaa hofu kubwa. 😵😵😵
Nashangaa safari hii sijaogopa kabisa deception anafanya kazi kubwa hahahaha
Kingine sipendi kupima kwenye ushauri mwingii,sipendi kabisa na siendi