ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Kila ukienda unayaacha majibu hahaha,,next time naomba twende nitakuchukulia majibu
Hahahaha! Hata ukiyachukua kaa nayo tuu ukiniambia hayo majibu ndio utaniua!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila ukienda unayaacha majibu hahaha,,next time naomba twende nitakuchukulia majibu
Ahahhah yaan wewe sasa huwa unaladhimishwa kupima auMimi nimeshaenda zaidi ya mara 100 kupima ila sijawahi kuchukua majibu!! Sitaki kufa kwa pressure kabla ya siku zangu za kuishi...
Ahahhah yaan wewe sasa huwa unaladhimishwa kupima au
Baada ya kipima sasa utakuwa unacheza nao kwa stepBasi ntakutunzia na k uziogope hivyo
Basi ntakutunzia na k uziogope hivyo
Yaan amenichekeshaYaan kiboko muoga balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala, naweza toka nyumbani kwa lengo la kupima. Pale kwa kusubiria majibu ndio uzalendo unanishindaga, nasepa vibaya sana hata siangalii nyuma!!
Hana ujasiri kweli