Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitamtafuta miez mitatu baada ya valentine dyKakukimbia Hayaa Ana mambo mengi huyoo
Nasambaza upendo laknWeweee ili usimtafutie makubwa agora angu
Na wewe pia usicheze mbali in JuneSawa Dreka
Oooh ni May sio juneJune kuna nini?
Kwa nn mpenzWee mi sipimi tenaa
Bas utanipeleka mmi kama hutojaliKupima pima sio ishu
Atanunuliwa ice cream wakat tunaendaDj sepetu atanunaa
Kina tofauti gani na hiki cha kawaida?Kile cha mwisho nishawah pima pia kinaitwa Uni nishakisahau
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp
Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana
Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko
Wasalaam