The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mwaka jana December 29, 2019 niliuza mechi ama nilitembelea rim mahala pabovu balaa halafu mkoa ambao kiwango cha maambukizi kiko juu sana.
Baada ya kuuza mechi kesho yake yaani tarehe 30 nikataka marudio ya mechi kwa sababu mtoto alikua na vile vitu vinanimaliza, ila kabla ya game nikamuomba tupime UKIMWI akakubali.
Baada ya vipimo majibu yakatoka mtoto sio mzima, sikuamini macho yangu, nikamuomba twende hospitali kwa ajili ya confirmatory test ya unigold akakataa, hapo ndio nikagundua maana ya ule msemo wa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Uzuri hotel niliyokua nimefikia iko karibu na hospitali ya rufaa ya mkoa, nikaenda wakanipa dozi ya PEP. Siku hiyo sikulala, usingizi uligoma kabisa. Wiki ya kwanza ya PEP sikupata usingizi wa kueleweka.
Baada ya PEP nikajipima ikaonyesha negative, sikutaka kupima tena. Leo nimeamka na mzuka wa kupima UKIMWI, nimepima sina.
Furaha niliyonayo naijua mwenyewe. Nimeishi kwa wasiwasi kwa miezi 12 hatimae leo nimeondoa kabisa wasiwasi moyoni mwangu.