Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NYERERE ALIPINGA KUBINAFSISHWA BANK YA NBC LAKINI HAKUKAMATWA WALA KUFUNGULIWA KESI YA UHAINIHata Mwl Nyerere angelikuwa hai, lazima angeungana na Mwambukusi, Dr Slaa, Askofu Mwamakula, Lissu, Fr Kitima, Ask Pengo, Mbowe, Prof Shivji, Anna Tibaijuka kupinga kubinafsishwa bandari zetu ilhali Bado tunalipa mikopo tuliyojengea bandari zetu .
Free our Prophets [emoji120][emoji120]
Vitisho visituondoe kwenye HOJA.Demokrasia mchezo
Kwa hizi roho chaf na vichwa vilivyojaa hisia na akili sifuri itawashinda tuu
Wanataka kutuuzia Uoga.NYERERE ALIPINGA KUBINAFSISHWA BANK YA NBC LAKINI HAKUKAMATWA WALA KUFUNGULIWA KESI YA UHAINI
Uhaini haujaruhusiwa, matusi, lugha chafu na uongo pia haujaruhusiwa.Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Kudai na kupinga bandari zetu kubinafsishwa Si kosa.Uhaini haujaruhusiwa, matusi, lugha chafu na uongo pia haujaruhusiwa.
nagahamukuwa kusema uongo kuhusu nchi ni uhaini? Kama haufahamu, kasome vizuri sheria ya uhaini.
Usifikiri Wambura kakurupuka.
Halafu napenda kuwatanabahisha vijana, wakati wa mwendazake hata mimi niliingia mitini, nilikuwa kimya kabisa. Mnaelewa kwanini?
Kwa sababu nafahamu, hakuna anaeweza kujificha nyuma ya keyboard asijulikane ni nani akitakikana. Kwa hiyo tuchunge sana kauli zetu, hatuna teknolojia ya kuishinda serikali.
Mama Abdul anashauriwa vibaya.Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Si Kweli, anazo akili timamu kuchanganua.M
Mama Abdul anashauriwa vibaya.
Watawaachia tu hakuna namna unadhani kuna jipya watafanya?Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Uhuru wafaa nini kama HAKI inabakwa?Yule mwanamke mzee anaona aibu, usaliti aliotufanyia akidhani ungekuwa siri leo upo wazi, amelaaniwa.
Acha ujuha wewe. Unajua lolote juu ya Bandari wewe?? Au unaendeshwa na chuki zako tu dhidi ya Samia?Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Kwann HOTUBA za Mwl Nyerere zimefutwa Ckuhizi zinazoongelea RUSHWA na Uzalendo?Acha ujuha wewe. Unajua lolote juu ya Bandari wewe?? Au unaendeshwa na chuki zako tu dhidi ya Samia?
Hatuna technology ya kuishinda serikali and till today kigogo ajulikani ni nani, pathetic 😏🚮Uhaini haujaruhusiwa, matusi, lugha chafu na uongo pia haujaruhusiwa.
nagahamukuwa kusema uongo kuhusu nchi ni uhaini? Kama haufahamu, kasome vizuri sheria ya uhaini.
Usifikiri Wambura kakurupuka.
Halafu napenda kuwatanabahisha vijana, wakati wa mwendazake hata mimi niliingia mitini, nilikuwa kimya kabisa. Mnaelewa kwanini?
Kwa sababu nafahamu, hakuna anaeweza kujificha nyuma ya keyboard asijulikane ni nani akitakikana. Kwa hiyo tuchunge sana kauli zetu, hatuna teknolojia ya kuishinda serikali.
Kwa hiyo unaishi wa kuangalia hotuba za nyerere? Tafuta kujiji cha Ujamaa polini huko basi nenda kaishiKwann HOTUBA za Mwl Nyerere zimefutwa Ckuhizi zinazoongelea RUSHWA na Uzalendo?
Bandari ni yetu,Kwa hiyo unaishi wa kuangalia hotuba za nyerere? Tafuta kujiji cha Ujamaa polini huko basi nenda kaishi
Kumbe, sina ahabari.Hatuna technology ya kuishinda serikali and till today kigogo ajulikani ni nani, pathetic 😏🚮