Kupinga bandari zetu kubinafsishwa si uhaini ni Uzalendo. Waachieni huru Manabii wetu

Kupinga bandari zetu kubinafsishwa si uhaini ni Uzalendo. Waachieni huru Manabii wetu

Bandari ni yetu,

Sisi ndo tunatakiwa kupokea maombi ya wadau wa maendeleo kupata win win situation!!

Haiwezekani sisi tuendelee kupewa mkataba na masharti na mwekezaji na isionyeshe tutapata nn in return.

Nitapiga kelele Nchi kavu, nitapiga kelele ktk vilindi Baharini nitapiga kelele angani Hadi pale HAKI itaposimama juu ya nchi.


Free our Prophets 🙏🙏
Kwani kuna mkataba mahsusi wa iwekezaji kuhusu Bandari umeshaingiwa?
 
Ila maandamano ya kikatiba yanaweza kumtoa mtu ikulu. Philippines mpaka watawa walilala barabarani, na kikaeleweka. Hawakufanya uhaini bali Ni maandamano ya amani kikatiba.
 
Ila maandamano ya kikatiba yanaweza kumtoa mtu ikulu. Philippines mpaka watawa walilala barabarani, na kikaeleweka. Hawakufanya uhaini bali Ni maandamano ya amani kikatiba.
Kumtoa kiongozi madarakani Kwa maandamano ya Amani pia Si uhaini ndo democracy yenyewe!

Kuchaguliwa na kukataliwa ni sawasawa kama umeshindwa kutimiza matakwa ya bosses wako wananchi!!


HOJA za wapinga kubinafsishwa bandari zijibiwe Si kuwatisha.

Free our Prophets 🙏🙏🙏
 
Nimemsikiliz wakili Mwabhukusi baada ya kutoka kwenye hukumu ya Mbeya sijaona jinai yoyote

Link hiyo hapo>

Hawana kosa lolote.

Maandamano kuunga mkono mradi wa Bandari ni sawa Si uhaini, ila kupinga ni uhaini!!!

Tuheshimu SHERIA na Katiba ya nchi.

Uhuru wa Kutoa maoni uheshimiwe.

Wasiojulikana, free our Prophets 🙏🙏
 
NYERERE ALIPINGA KUBINAFSISHWA BANK YA NBC LAKINI HAKUKAMATWA WALA KUFUNGULIWA KESI YA UHAINI
Kuna mdau aitwa nsanzagee baada ya kusoma post Yako ameanzisha thread.

Bt ni Kwa maslah mapana ya nchi.

Free our Prophets🙏🙏🙏
 
Jibuni HOJA zao,

Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.

Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Ukitawala wananchi kwa njia za fitina, dhuluma na uonevu dhidi ya za sauti zinazopaazwa kuumizwa ama binafsi au kuhusu ubadhirifu wa mali za umma matokeo yake ni sawa na utawala uliifitinika haudumu kamwe.

Vijana kama wanaandamwa na vyombo vya dola kwa maelekezo ya wanasiasa haikubaliki
 
Back
Top Bottom