Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwani kuna mkataba mahsusi wa iwekezaji kuhusu Bandari umeshaingiwa?Bandari ni yetu,
Sisi ndo tunatakiwa kupokea maombi ya wadau wa maendeleo kupata win win situation!!
Haiwezekani sisi tuendelee kupewa mkataba na masharti na mwekezaji na isionyeshe tutapata nn in return.
Nitapiga kelele Nchi kavu, nitapiga kelele ktk vilindi Baharini nitapiga kelele angani Hadi pale HAKI itaposimama juu ya nchi.
Free our Prophets ππ
Usiniulize ujingaKwani kuna mkataba mahsusi wa iwekezaji kuhusu Bandari umeshaingiwa?
Jibu tu. Maana shida ni uelewa wako kama sio chuki na sononaUsiniulize ujinga
Free our prophetππ
Free our Prophets ππJibu tu. Maana shida ni uelewa wako kama sio chuki na sonona
Kumbe huna hoja. Endelea na upuuzi wakoFree our Prophets ππ
Nijibu upuuzi wakati wazalendo wenzangu wanakamatwa?Kumbe huna hoja. Endelea na upuuzi wako
Hopefully,huo ndio uwezo wako wa kujibu hoja.....πAcha ujuha wewe. Unajua lolote juu ya Bandari wewe?? Au unaendeshwa na chuki zako tu dhidi ya Samia?
Yaaani nina uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo na kujibu hoja. Hilo sina mashaka naloHopefully,huo ndio uwezo wako wa kujibu hoja.....π
Kumtoa kiongozi madarakani Kwa maandamano ya Amani pia Si uhaini ndo democracy yenyewe!Ila maandamano ya kikatiba yanaweza kumtoa mtu ikulu. Philippines mpaka watawa walilala barabarani, na kikaeleweka. Hawakufanya uhaini bali Ni maandamano ya amani kikatiba.
Congratulations πYaaani nina uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo na kujibu hoja. Hilo sina mashaka nalo
Asante sanaCongratulations π
Nimemsikiliz wakili Mwabhukusi baada ya kutoka kwenye hukumu ya Mbeya sijaona jinai yoyoteJibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Hawana kosa lolote.Nimemsikiliz wakili Mwabhukusi baada ya kutoka kwenye hukumu ya Mbeya sijaona jinai yoyote
Link hiyo hapo>
Kuna mdau aitwa nsanzagee baada ya kusoma post Yako ameanzisha thread.NYERERE ALIPINGA KUBINAFSISHWA BANK YA NBC LAKINI HAKUKAMATWA WALA KUFUNGULIWA KESI YA UHAINI
Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.
Ukitawala wananchi kwa njia za fitina, dhuluma na uonevu dhidi ya za sauti zinazopaazwa kuumizwa ama binafsi au kuhusu ubadhirifu wa mali za umma matokeo yake ni sawa na utawala uliifitinika haudumu kamwe.Jibuni HOJA zao,
Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba.
Waachieni Manabii wetu tafadhali.