B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 30, 2022 #1 Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa. Kwa msimamo huu: Ndani ya sauti hizi: Mama anachagua kufika 2025 akiwa amechoka kweri kweri.
Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa. Kwa msimamo huu: Ndani ya sauti hizi: Mama anachagua kufika 2025 akiwa amechoka kweri kweri.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Mar 30, 2022 #2 Katiba mpya ni lazima sio ombi.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 30, 2022 Thread starter #3 Chaliifrancisco said: Katiba mpya ni lazima sio ombi. Click to expand... Waungwana wanasema "ngoja tuone .."
Chaliifrancisco said: Katiba mpya ni lazima sio ombi. Click to expand... Waungwana wanasema "ngoja tuone .."
N Nkanini JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 7,157 Reaction score 17,390 Mar 30, 2022 #4 Katiba mpya ni LAZIMA