PostGE2025 Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa.

Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
 
Nikiwa kama raia wa Tanganyika huru, naunga mkono hayo maandamano kwa 💯%.
 
Mkuu, hatutachoka kupambana na maharamia ya serikali ya muuaji Samia na maccm.

Hawa watu wamekosa utu, wana viburi na jeuri iliyopita kiasi, njia pekee kupambana nao ni moto kwa moto.

Hawawezi kushinda wananchi mamilioni ya Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…