Kupinga serikali tatu kwa kisingizio cha gharama ni upuuzi

Kupinga serikali tatu kwa kisingizio cha gharama ni upuuzi

hivi jamani hii nchi inaenda wap serikali tatu itaweza kuendelea kweli maana hizo serikali tatu znatakiwa kuhudumiwa vizur, sasa je serikali imejipangaje?
 
Tunacho hitaji wazbr ni mamlaka kamili,hatunashida na muungano umeshatutosha.
 
Serikali iwe moja tu,
awepo rais wa Jamhuri ya muungano Tz.
Zanzibar kuwe na gavana na Tanganyika pia,
kama hao wa visiwani hawataki tuwaachie kijipande chao sisi tuendlee na Tanzania yetu.
Serikali tatu itazua mkanganyko mbele
 
Tunacho hitaji wazbr ni mamlaka kamili,hatunashida na muungano umeshatutosha.

usikute unaandika hivyo upo buguruni sokoni unauza juice ya miwa na nzi kibao,haya anza kufungasha virago uende usituletee kipindupindu,tena tutawapeleka bureeee
 
Serikali mbili tu, serikali ya Zanzibar na full mamlaka na Govt of republic Tanganyika na full mamlaka ambazo ni members wa EA. Anyother way unafiki tu.
 
Back
Top Bottom