Tunacho hitaji wazbr ni mamlaka kamili,hatunashida na muungano umeshatutosha.
Wakuu JF, Amani iwe Nanyi
Kuna watu wameshaanza tayari ,nina uhakika watu hawa wanatumiwa.
Wanapinga Rasimu ya Serikali tatu kwa kigezo cha Gharama.
Eti Nchi itakuwa na Gharama Kubwa ku Run na Marais wa Tatu.
.......,
TUSIMAME KUWAPINGA HAWA WACHUMIA TUMBO