Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waw, naona unazidi kudhihirisha kuwa wewe ni walewale . 70 or 75 % is philosophical figure, maana hakukaa mahali kuwahesabu hao wafuata upepo,( i bet wewe ni kamishna wa hao wafuata upepo). Labda ulimsaidia ku-derive hiyo figure.unaona usivyo makini alisema 70% , wewe umo humo!
Bila ya shaka; huwa inachosha kusoma quotes tu toka kwenye magazeti..
umesikiliza promo? mweh!!
within the hour wandugu..
Here we go!
mzee umeua, Mfano wa Kiula na Nguva umemuua, hakuweza kujibu swali.
Bila shaka naye Waziri ni miongoni mwa hao guests!Currently Active Users Viewing This Thread: 50 (21 members and 29 guests)
Kazi nzuri kwa mahojiano na ubunifu wa kaka yetu M. Mwanakijiji. Hata hivyo, hata siku moja sijaridhisha na juhuzi za serikali kujaribu kubana hadi hukumu iliyotolewa isitekelezwe. Kwa mfano, serikali ilikuwa wapi kuandaa rufaa yake mapema tu baada ya hukumu? Mbona wamesubiri mwaka wa uchaguzi mkuu uliolengwa na hukumu iliyotolewa mwaka 2006, ndiyo kasi ya rufaa yao ikawa kubwa? Kwa nini isingefanyika 2006, 2007, 2008 ama mapema 2009?Bila ya shaka; huwa inachosha kusoma quotes tu toka kwenye magazeti..
Wajameni me mbona nasikia ala za muziki na maneno machache inakuwaje? Au ni changa la macho?
I wonder kwanini anasema lipelekwe kwa wananchi, wakati wawakilishi wa wananchi tayari wametunga sheria (Katiba) inayomruhusu mgombea binafsi, na chombo kinachotafsiri sheria (katiba) kimesema kuwa kikatiba inaruhisu. Kwanini kigugumizi? Kwanini serikali inapinga?
Mwanakijiji ingekuwa ni vizuri pia ungepata insight ya Mh Sitta kuhusu suala hili.