Kupisha machungu ya ndugu kupotezwa au kuuawa kwa sababu za kisiasa kwanini tusikubaliane walioko madarakani wadumu milele?

Kupisha machungu ya ndugu kupotezwa au kuuawa kwa sababu za kisiasa kwanini tusikubaliane walioko madarakani wadumu milele?

wakoloni waliacha tawala za mitaa kwa machifu na watwale, watwale walichaguliwa na DC na kuidhinishwa na machifu, huu utaratibu wa watu kugombea ilikuja baada ya mwalimu kufuta uchifu. sasa hili la kampeni za uongozi wa mtaa kufanywa kichama sijui hili jambo la hovyo nani alilileta.

mimsingi uongozi wa kijiji ungefaa ufanywe kwa kugombea pasi kufuata ushawishi wa kichama, jamii ndogo ya mtaa kusema huu nibuongozi wa ccm na ule wa cdm na ule wa chauma tunapanda mbegu ya kishenzi sana.

fikiria kimara iwe ya ccm mbezi iwe ya chadema goba iwe ya act wazalendo tunatengeneza mfumo ambao mbeleni nchi haitatawalika. leo cdm inalalamika ccm kuua watu wao hiyo mitaa iliyoko chini ya cdm wana ccm watakaa kwa utulivu kweli?

napendekeza uongozi wa mtaa upatikane pasipo kufuata itikadi za vyama mtu agombee yeye kama yeye. hii itaondoa mgawanyiko wa kisiasa ngazi ya mtaa

hili la mtu kutoka ubelgiji anaenda kupiga kampeni ikungi na wala sio mpiga kura kwenda kuleta fujo tu, mwingine anatoka dar anaenda kazuramimba, mwingine anatoka dar anaenda shinyanga mbaya zaidi wengine ni mawaziri. huku ni kuleta taharuki tu zisizokuwa na maana yeyote.

Tungekubaliana kuachana na harakati za chaguzi kama hatuko tayari kwa zilizohuru na za haki.
 
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?

Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?

Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.

Kwamba haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?

Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?

Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!

Naomba kutoa hoja.
Haiwezekani maana hata vitabu vitakatifu vyonesha wazi namna tawala zilivyo kuwepo na zilivyo ondoka , hawa nikubanana nao ,siku sio mtashangaa
 
kondoo wakiisha zizini wataanza kula mbwa wanaowalinda
mbwa wakiisha watakulana wao kwa wao hizo nyakati hakuna atakaye tamani kuugua ata mafua ili kuonekana dhaifu maana atageuzwa mlo
 
wAAYu9E.jpg
 
Hii dhana ya malipo ni hapa hapa duniani hutumiwa na wanyonge baada ya kushindwa mpamabano.

Wazungu walitutawala kwa mijeredi na vipogo vya risasi mbona hawajalipwa mabaya hadi leo? Au wao hii dhana haiwahusu?
Ukoloni ulikuwa 50/50. Hata wewe unaweza kusoma na kuandika sababu ya viboko vya wazungu. Pamoja na hayo huwa wanapitia mengi kama WW 1&2 lakini kutokana na juhudi zao wanasonga mbele.
 
Mimi nilishawahi kumwambia jamaa siku moja, ifike hatua wanaojihusisha na siasa waachane nayo hasa vyama pinzani vikubwa harafu tuangaliane

Haipo haja ya kuangalia mbali:

"Kulikuwa na haja gani ya kupoteza muda kwenye uchaguzi 2024 huku wanaouendesha hawana haja na utashi wa watu?"

Ni bora wakasusiwa bucha wakajua wao ni fisi!
 
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?

Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?

Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.

Kwamba haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?

Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?

Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!

Naomba kutoa hoja.
Wafe wakatawale kuzimu nanina..kuwaombea umilele ni uoga, watuue tu ila nao watakufa siku moja.
 
Hahaha mkubaliane na nani na iko hivyo tangu mwanzo, kumbe wewe ulitaka kuwatoa madarakani?

Angalia usitekwe na kuuwawa ccm hawana utani kwenye hilo.

Hapana mkuu, wanaotekwa ni wanaotaka kuwatoa madarakani siyo sisi tunaowambea fisi kususiwa bucha.
 
Wafe wakatawale kuzimu nanina..kuwaombea umilele ni uoga, watuue tu ila nao watakufa siku moja.

Mkuu siyo woga ila kuweka wazi, wamesomeka badala ya kuendelea kutesa watu.
 
Wakipata kiu ya damu hawawezi kuacha kutafuta source ya hiyo damu ili kutii kiu yao.
 
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?

Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?

Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.

Kwamba haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?

Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?

Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!

Naomba kutoa hoja.
Naunga mkono hoja ,uhai ni bora kuliko vyeo ,waendelee tu kukaa madarakani hata kwa miaka 100 wasitoke.
 
Hiyo ni kumsusia fisi bucha
Tutawathibiti muda ukiwadia
Wacha wajilshe upepo waendelee kujiona wajanja

Wakati mwingine ni bora fisi akasusiwa bucha.

Akaelewa kuwa anafahamika yeye ni fisi!
 
Alafu anakuja ndezi anatujaza kwamba kina chura kiziwi watawale milele..

Tokea kina mawazo hadi leo wamepotea wengi sana.

U ndezi ni kuacha familia za wahanga hao kuendelea kuwa nyingi huku chaguzi uchwara tunashiriki tukijua matokeo na tekwaji zitakuwa he

Hawa watu wangesusiwa kistaaraabu mbona dawa ingewaingia tu?
 
epukeni ushirikina na kutumia ramli na kafara kupata uongozi ndani ya vyama vyenu vya siasa :pulpTRAVOLTA:

Chunguzi za kina Mzee Kibao mnadhani tumesahau?

Haya yanayoendelea au figisu za uchaguzi 2024 mnadhani hatuoni?

Si kama hamtaki demokrasia au tawala jumuishi si mbakie wenyewe badala ya kuuwa au kupoteza watu?

Wewe hudhani hiyo ndiyo labda ilikuwa suluhu Bora zaidi?
 
kama Taifa tunapitia changamoto za kibaradhuli kama ilivyo mataifa maengine ulimwenguni,

na hiyo haiwezi kusababisha hata kidogo, eti taifa libabaike au kuzubaa, lisisonge mbele na kupiga hatua za kimaendeleo..

makasiriko na mihemko libaki ni kua ni suala binafsi.

2025 Taifa litafanya uchaguzi mkuu kwa amani, bila mbambamba ya mtu au watu wa aina yoyote ile,

mpaka sasa,
kama taifa tupo pazuri sana na tunaendelea vizuri pia:pulpTRAVOLTA:
 
Ni kweli, kwa nini tusiamue kwa umoja wetu tufute vyama.vya siasa ili tubaki na CCM moja.
Maana hakuna haya ya vyama vingi vinavyozalisha vilema, yatima, wajane.
 
Back
Top Bottom