Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

ayumkiniki
Naomba maana yake jwa Kiswahili
na neno lake kwa Kiingereza.
Shukrani
 
Kuna hii methali sijawahi elewa
"Kozi mwana mandanda , kulala njaa kupenda"
 
Hewala ya fedha hii ilikua ni riwaya nafikiri hivyo ili upate wazo zima angalau ungeisoma riwaya husika. Labda kama unataka neno moja moja
Hapana! hawala ya fedha ni neno la kiswahili kwa Money order ya kiingereza
 
Najua hapo nilikuwa namfafanulia huyo asiyejua Hawala ya Fedha kwamaana nikisema Cheque huenda akaelewa.
Cheque sio hawala ya fedha! cheque kwa kiswahili inaitwa HUNDI, Hawala ya fedha ni MONEY ORDER
 
Mimi neno NDWELE sijawahi kuelewa maana yake.

"Yaliyopita si NDWELE tugange yajayo"
^Yaliyopita si NDWELE (changamoto, matatizo, shida, adha, maradhi) tugange yaliyopo na yajayo^

Meaning: kilichopita kimepita, hakipaswi kuchukuliwa kama tatizo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom