Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!