Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
CHawa pro maxIli mambo yakae vizuri kwa mtindo wa PPP apewe abood bus, tena haraka sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHawa pro maxIli mambo yakae vizuri kwa mtindo wa PPP apewe abood bus, tena haraka sana!
Bi Urojo atoke haraka hapo, as the matter of fact system nzima ya utawala wa nchi inanuka uozo kuanzia juu kabisa kwa kiranja mkuu mpaka wateule wake. Wananayaona yote hivyo obviously yanayoendelea yana baraka zao.Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!