Kwa akili yako hao nao ni viongozi?Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!
Barabara za mwendokasi ni za mwendokasi! Ni ujinga mkubwa kutaka kuziharibu kwa maamuzi ya hovyo kabisaTunaomba hili lidhibitiwe mapema sana even tomorrow, barabara hizi zina heshima yake ya kipekee kabisa katika ukanda wa Afrika, sasa tunazivunjia heshima yake tumpatie uendeshaji wa mwendo kasi mtu mwenye uzoefu kama ABOOD BUS!
CHAWA WA ABOOD MMEANZA.Tunaomba hili lidhibitiwe mapema sana even tomorrow, barabara hizi zina heshima yake ya kipekee kabisa katika ukanda wa Afrika, sasa tunazivunjia heshima yake tumpatie uendeshaji wa mwendo kasi mtu mwenye uzoefu kama ABOOD BUS!
Nililiona hili mapema kabisa na nikatahadharishaTangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!
Ujinga wa watanzania huu, kazi za usafirishaji zina taratibu zake, zina teknik zake zina miiko yake si kila mtu anaziweza, haziihitaji usimamizi wa kiofisi kama bosi kubwa ni kazi za akili sana siyo lelemama!CHAWA WA ABOOD MMEANZA.
Unataka ufe mara gapi?Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!
Kwanini usipewe wewe apewe abood?Ujinga wa watanzania huu, kazi za usafirishaji zina taratibu zake, zina teknik zake zina miiko yake si kila mtu anaziweza, haziihitaji usimamizi wa kiofisi kama bosi kubwa ni kazi za akili sana siyo lelemama!
CHAWA WA ABOOD MMEanzaTunaomba hili lidhibitiwe mapema sana even tomorrow, barabara hizi zina heshima yake ya kipekee kabisa katika ukanda wa Afrika, sasa tunazivunjia heshima yake tumpatie uendeshaji wa mwendo kasi mtu mwenye uzoefu kama ABOOD BUS!
CHAWA PRO MAXUjinga wa watanzania huu, kazi za usafirishaji zina taratibu zake, zina teknik zake zina miiko yake si kila mtu anaziweza, haziihitaji usimamizi wa kiofisi kama bosi kubwa ni kazi za akili sana siyo lelemama!
DAAH unasubiria kifo cha ngapi cha huo mradi wa mwendokasi?Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa utaratibu barabarani hasa Dares salaam maana ni vurugu tuu… barabara za magari ya mwendokasi zimekuwa za kila mtu na sasa haitachukua muda mrefu usafiri wa mwendokasi utakufa rasmi!
Ili mambo yakae vizuri kwa mtindo wa PPP apewe abood bus, tena haraka sana!CHAWA WA ABOOD MMEanza
Ujinga wa watanzania huu, kazi za usafirishaji zina taratibu zake, zina teknik zake zina miiko yake si kila mtu anaziweza, haziihitaji usimamizi wa kiofisi kama bosi kubwa ni kazi za akili sana siyo lelemama!