Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

Bi Urojo atoke haraka hapo, as the matter of fact system nzima ya utawala wa nchi inanuka uozo kuanzia juu kabisa kwa kiranja mkuu mpaka wateule wake. Wananayaona yote hivyo obviously yanayoendelea yana baraka zao.
 
Waziri Bashungwa yupo smart sana ila RC ndio amekosea ku program matumizi ya hizo barabara. Namna sahihi ilikuwa ni kuruhusu gari za private pekee zitumie barabara ya mwendokasi huku za biashara zikibakia kwenye njia za kawaida.

Huwezi kuruhusu gari zote zitumie barabara ya mwendokasi ikiwemo daladala ambazo ndio mabingwa wa kusababisha foleni. Altleast boda boda wao hawanaga vituo njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…