Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
mageuzi hayafanywi mradi yafanywe,muhimi nani anafaidika na mageuzi hayoKwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba joto kupoa Botswana walifanya kweli. Msumbiji hawakubaki nyuma. Tunapoandika Frelimo haijui kama itaendelea kuula au kuliwa. Hakika, katika uhai wangu, naona ndoto ya Tanzania mpya kutoka mikononi na midomoni mwa machwa na kunguni. A Luta Continua. Mapambano Yaendelee na Kazi ya kufutulia na kuvunjilia chawa mbali iendelee. Je wewe unasemaje dugu yangu?
Ni kweliKila kitu kinakwenda vizuri sana, tuibadilishe ccm kwa kipi kibaya, Afrika nzima kwa sasa inaishangaa Tanzania kwa kasi kubwa ya kiuchumi,
#Tufanye kazi, tuache blah blah!
tatizo la watanzania wakisikia ata sauti ya baruti wanjificha!!!Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba joto kupoa Botswana walifanya kweli. Msumbiji hawakubaki nyuma. Tunapoandika Frelimo haijui kama itaendelea kuula au kuliwa. Hakika, katika uhai wangu, naona ndoto ya Tanzania mpya kutoka mikononi na midomoni mwa machwa na kunguni. A Luta Continua. Mapambano Yaendelee na Kazi ya kufutulia na kuvunjilia chawa mbali iendelee. Je wewe unasemaje dugu yangu?