Kupitia Clouds Fm, Patoranking amkubali Zuchu

Clouds inazidi kuyumba kutokana na kuwa na mabifu ya kijinga na wasanii ndio taratibu wanaanza kujirudi tumeanza kuona hiv karibuni kwa Jide hiv kwa akili ya kawaida unaanzaje kugombana na mondi? Mwenye mashabiki wengi kuliko wasanii wanaowasapoti? Mwenye nguvu kubwa sawa na media?
 
[emoji41]
 
Bahati yake Ruge amefariki angeona muziki wa Ruge yeye mwenyewe angesarenda
 
Nilitaka nishangae eti vanessa mdee asitajwe, khaaaah lol
 
Bifu ya Wasafi kwa Clouds ni kwa Mabosi au kina nani?..Kusaga na Diamond si wana tu na picha wanapiga!..na kama bifu lilikuwa na Ruge,jomba si kachavuta namba,why bado kukaziana?

Wcb wameona wananufaika zaidi na hili bifu,biashara nzuri
 
WCB hawategemei beef hilo kukuza brand wala mziki wao,waliwaambia wawape sababu kwa nini walikataa kupiga nyimbo zao hawjawapa.Wame survive miaka zaidi ya mitatu bila wao mpaka kuisimamisha brand bila msaada wao.

Haiwezekani kipindi ambacho umenitupa hunisapoti nina hali ngumu,alafu kesho mambo yapo vizuri ndio unataka kujifanya kunisapoti,hata mimi lazima nikukazie.
 
Kama ni mmoja mbona diamond hapat airtime hapo mawingu fm
Hapati kwa sababu Wasafi hawataki nyimbo zao zipigwe clouds. Ili alilisema Kusaga kwenye bartender ya Jonijo itafute youtube utaona
 
sasa wewe unataka kusemaje ndo kashatajwa sasa
 
Hapati kwa sababu Wasafi hawataki nyimbo zao zipigwe clouds. Ili alilisema Kusaga kwenye bartender ya Jonijo itafute youtube utaona
Hiyo hoja uliyozungumza Ni dhaifu sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma za WCB kwa zaidi ya miaka 3?hiyo statement walikuja nao WCB baada ya kuona nyimbo zao hazipigwi redioni na bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…