hannibali
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 468
- 427
Kaleta ushabiki sanaUsimfokee basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaleta ushabiki sanaUsimfokee basi
Clouds inazidi kuyumba kutokana na kuwa na mabifu ya kijinga na wasanii ndio taratibu wanaanza kujirudi tumeanza kuona hiv karibuni kwa Jide hiv kwa akili ya kawaida unaanzaje kugombana na mondi? Mwenye mashabiki wengi kuliko wasanii wanaowasapoti? Mwenye nguvu kubwa sawa na media?Muanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Acha kutupigia porojo mzeeZuga tu hio.
Kwani mmiliki wa Wasafi media ni nani boss?
[emoji32] [emoji32]Le Mutuz.
Acha kutupigia porojo mzeeZuga tu hio.
Kwani mmiliki wa Wasafi media ni nani boss?
[emoji41]Muanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Bahati yake Ruge amefariki angeona muziki wa Ruge yeye mwenyewe angesarendaClouds inazidi kuyumba kutokana na kuwa na mabifu ya kijinga na wasanii ndio taratibu wanaanza kujirudi tumeanza kuona hiv karibuni kwa Jide hiv kwa akili ya kawaida unaanzaje kugombana na mondi? Mwenye mashabiki wengi kuliko wasanii wanaowasapoti? Mwenye nguvu kubwa sawa na media?
Si huyo ruge alikuwepo mbona alimshindwa?Bahati yake Ruge amefariki angeona muziki wa Ruge yeye mwenyewe angesarenda
Nani kakudanganya mkuuSi huyo ruge alikuwepo mbona alimshindwa?
We uliyesema mtu anayemiliki Mark X hashindwi kujenga nyumba sina cha kubishana na wewe.Acha kutupigia porojo mzee
Nilitaka nishangae eti vanessa mdee asitajwe, khaaaah lolMuanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Clouds inazidi kuyumba kutokana na kuwa na mabifu ya kijinga na wasanii ndio taratibu wanaanza kujirudi tumeanza kuona hiv karibuni kwa Jide hiv kwa akili ya kawaida unaanzaje kugombana na mondi? Mwenye mashabiki wengi kuliko wasanii wanaowasapoti? Mwenye nguvu kubwa sawa na media?
WCB hawategemei beef hilo kukuza brand wala mziki wao,waliwaambia wawape sababu kwa nini walikataa kupiga nyimbo zao hawjawapa.Wame survive miaka zaidi ya mitatu bila wao mpaka kuisimamisha brand bila msaada wao.Bifu ya Wasafi kwa Clouds ni kwa Mabosi au kina nani?..Kusaga na Diamond si wana tu na picha wanapiga!..na kama bifu lilikuwa na Ruge,jomba si kachavuta namba,why bado kukaziana?
Wcb wameona wananufaika zaidi na hili bifu,biashara nzuri
Hapati kwa sababu Wasafi hawataki nyimbo zao zipigwe clouds. Ili alilisema Kusaga kwenye bartender ya Jonijo itafute youtube utaonaKama ni mmoja mbona diamond hapat airtime hapo mawingu fm
sasa wewe unataka kusemaje ndo kashatajwa sasaMuanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Hiyo hoja uliyozungumza Ni dhaifu sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma za WCB kwa zaidi ya miaka 3?hiyo statement walikuja nao WCB baada ya kuona nyimbo zao hazipigwi redioni na bila sababuHapati kwa sababu Wasafi hawataki nyimbo zao zipigwe clouds. Ili alilisema Kusaga kwenye bartender ya Jonijo itafute youtube utaona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pato kasema kwa sasa femele artist anaye mfuatilia tanzania ni msanii mpya diamond kidogo adam mchomvu adondoshe earphone
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app