Wasafi Company Limited ni kampuni ya burudani iliyoanzishwa na kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz
Kampuni ya Wasafi inamiliki vitu vifuatavyo;-
1. Wasanii chini ya Wasafi Classic Baby Label (WCB Label)
2. Matamasha mbalimbali ya muziki, ikiwemo tamasha lao la kila mwaka la Wasafi Festival
3. Vyombo vya habari (Media Houses) ambavyo ni Wasafi Fm na Wasafi Tv
4. Uzalishaji wa miziki chini ya Wasafi Studio
5. Utengenezaji wa video chini ya Zoom Extra
6. etc
Namba 3 ndo inayoleta utata sana na kufikia kiwango cha kudai kuwa Wasafi nzima kuanzia 1-6 vinamilikiwa na Kusaga, wakati ni kasehemu tu kadogo ka Wasafi
Hiyo ni wasafi. Tuje kwa Mond...
Kwanini wanadai kuwa Diamond ni taasisi inayojitegemea? Ni hivi, kupitia jina la mond kuna vitu vingi vimeanzishwa na kusimama kiasi kwamba hata akitoweka leo bado vitasalia na vitaendelea kukua
Mfano wa vitu hivyo ni km ifuatavyo;-
1. Diamond karanga
2. Chibu perfume
3. Watu mbalimbali wananufaika kupitia jina lake hasa waandishi wa habari wachanga
4. Jamii kiujumla