Kupitia Clouds Fm, Patoranking amkubali Zuchu

Wasafi Company Limited ni kampuni ya burudani iliyoanzishwa na kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz

Kampuni ya Wasafi inamiliki vitu vifuatavyo;-
1. Wasanii chini ya Wasafi Classic Baby Label (WCB Label)
2. Matamasha mbalimbali ya muziki, ikiwemo tamasha lao la kila mwaka la Wasafi Festival
3. Vyombo vya habari (Media Houses) ambavyo ni Wasafi Fm na Wasafi Tv
4. Uzalishaji wa miziki chini ya Wasafi Studio
5. Utengenezaji wa video chini ya Zoom Extra
6. etc

Namba 3 ndo inayoleta utata sana na kufikia kiwango cha kudai kuwa Wasafi nzima kuanzia 1-6 vinamilikiwa na Kusaga, wakati ni kasehemu tu kadogo ka Wasafi

Hiyo ni wasafi. Tuje kwa Mond...

Kwanini wanadai kuwa Diamond ni taasisi inayojitegemea? Ni hivi, kupitia jina la mond kuna vitu vingi vimeanzishwa na kusimama kiasi kwamba hata akitoweka leo bado vitasalia na vitaendelea kukua

Mfano wa vitu hivyo ni km ifuatavyo;-
1. Diamond karanga
2. Chibu perfume
3. Watu mbalimbali wananufaika kupitia jina lake hasa waandishi wa habari wachanga
4. Jamii kiujumla
Mkuu tunaweza kupata wamiliki wa Wasafi media na asilimia zao za umiliki kama walivyosajiliwa na TCRA?
 
Hawaja kata matangazo??
kuna siku nilikuwa nasikiliza clouds fm... ikapigwa ile nyimbo ya g nako... kutrend... sasa kuna sehemu anatajwa simba na kiba... nilishangaa sana waliiminya SIMBA na kuiachia KIBA
 
🤣🤣🤣🤣 Ndo zao hao jamaa alafu hayo mambo Ni ya kishamba
 
Wasafi Company Limited ni kampuni ya burudani iliyoanzishwa na kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz

Kampuni ya Wasafi inamiliki vitu vifuatavyo;-
1. Wasanii chini ya Wasafi Classic Baby Label (WCB Label)
2. Matamasha mbalimbali ya muziki, ikiwemo tamasha lao la kila mwaka la Wasafi Festival
3. Vyombo vya habari (Media Houses) ambavyo ni Wasafi Fm na Wasafi Tv
4. Uzalishaji wa miziki chini ya Wasafi Studio
5. Utengenezaji wa video chini ya Zoom Extra
6. etc

Namba 3 ndo inayoleta utata sana na kufikia kiwango cha kudai kuwa Wasafi nzima kuanzia 1-6 vinamilikiwa na Kusaga, wakati ni kasehemu tu kadogo ka Wasafi

Hiyo ni wasafi. Tuje kwa Mond...

Kwanini wanadai kuwa Diamond ni taasisi inayojitegemea? Ni hivi, kupitia jina la mond kuna vitu vingi vimeanzishwa na kusimama kiasi kwamba hata akitoweka leo bado vitasalia na vitaendelea kukua

Mfano wa vitu hivyo ni km ifuatavyo;-
1. Diamond karanga
2. Chibu perfume
3. Watu mbalimbali wananufaika kupitia jina lake hasa waandishi wa habari wachanga
4. Jamii kiujumla
Diamond karanga zimepotelea wapi ?
 
Hiyo hoja uliyozungumza Ni dhaifu sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma za WCB kwa zaidi ya miaka 3?hiyo statement walikuja nao WCB baada ya kuona nyimbo zao hazipigwi redioni na bila sababu
Udhaifu wa hoja unategemea na mtazamo. Wasafi wanamaslahi mapana sana na mgogoro ndo maana walimkatalia Kusaga nyimbo zao zisipigwe cloudz. Haipingiki kwamba WCB wameshika muziki wa bongo na east Africa lakini media yao bado changa na inagrow. Kwao kuruhusu nyimbo zao zpgwe na media nyingne ni kuichimbia kaburi media yao.
 
Ebu kafuatilie interview ya Diamond aliyoifanya na lilyommy times FM utapata majibu.
 
Muanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Usimfokee basi

🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna kesi inaamuliwa kwa kuckiliza upande mmoja
Wewe ndio umekaa upande mmoja umen'gan'gania eti wasafi wamesema ngoma zao zisipigwe ndio maana nimekuambia kasikilize hiyo interview ya mondi na lilyommy Times FM utapata majibu na utachuja mbivu na mbichi Ni zipi
 
Mkuu ukiisikiliza hiyo interview clouds nao waliongea na Lil Omy? Kwanini unataka kuuamua ugomvi kwa kuckiliza upande mmoja sababu tu huo upande umeongea sana? Nimesikiliza hiyo interview na sitaki kuamini kwamba kwa ukubwa wa clouds hawana kitengo cha quality assurance kiasi cha kufanya mambo yao kiswahili namla ile kama ilivyo elezwa na mond.

Sababu ipo wazi kwanini hawataki aya mambo yaishe tusizunguke sana. Clouds hawajawai kua na ugomvi wa kudumu na mtu refer Vinega, 20 percent, Lady Jay dee, Ruby na wengineo
 
Back
Top Bottom