BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Siku zingne badili kidogo sema Messi aliwafanya wajulikane zaidi na watumie vipaji vyao kwa haki
Unapokuwa midfielder na ukawa na MTU ambaye unamwamini 100% ukipeleka mipira anaipokea na kufanya kinachotakiwa basi maisha ya soka kama Middle yanakuwa ya raha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ni wakipekee kwa sasa Barca Xavi hayupo vipi Messi kapungua kiwango? Hahahahaha kiwango kimepanda Mara dufu
Ineista ndo huyoo majeruhi kila kukicha vipi ubora wa Messi umepungua ? Jibu no bado ni Messi yuleyule
Kwa sasa Messi ubora wake ni mara dufu kwa sababu kabeba majukumu ya watu muhimu ambao hawapo barca tena Xavi na Ineista kwa pamoja anayafanya Messi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu Pingldea! umemaliza kila kitu, na mjadala ufungwe....