Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Ubora wa messi umepungua tofauti na kipindi cha nyuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazungumzia Majeruhi sio ubora wa Messi

Messi wa sasa kawa moto zaid game nyingi anakuwa mwamuzi wa matokeo

Ubora wa zamani unauzungumzia ufungaji magoli, upo sahihi kwa vile alikuwa na jukumu moja tu la kufunga but ubora ninaouzungmzia wa sasa ni wakufanya vitu viwili kwa pamoja Kufunga na kuchezesha team (Assists zimeongezeka)

Uwepo wa Suarez na Neymar vinafanya majukumu yake ya awali kupunguzwa

Messi wa sasa ni bora zaid na Messi wa zamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukitaka kujua Google
 
Scholes tena?? Nadhani hapa wanalinganishwa majabali ya soka duniani, sio wanasoka majabali wa Man United.
kamuulize iniesta au xavi watakwambia scholes ni nani lakini sio wewe uliojua mpira kipindi cha clouds fm
 
kamuulize iniesta au xavi watakwambia scholes ni nani lakini sio wewe uliojua mpira kipindi cha clouds fm
Clouds FM ndio nini??

Mpira nimeanza kuufuatilia tangu enzi wewe hujazaliwa. Kina Garincha wanacheza soka, sisi tuna akili za soka tayari... sembuse huyu Scholes wa juzi hapa enzi za kocha Ferguson??
 
Clouds FM ndio nini??

Mpira nimeanza kuufuatilia tangu enzi wewe hujazaliwa. Kina Garincha wanacheza soka, sisi tuna akili za soka tayari... sembuse huyu Scholes wa juzi hapa enzi za kocha Ferguson??
ndonacho kwambia hujui mpira wewe hata kama umezaliwa miaka miambili iliyo pita,mimi sio mnazi kama wewe unavyodhani ndomana kwenye list yangu yumo pirlo nakushangaa unavyoleta ligi za kitoto hapa,hili ndio tatizo lakushabikia mpira kupitia shaffi dauda huwe kufanya uchambuzi mpaka shaffi akusimulie
 
Shafii ndio nani?? Tatizo mmeshazoea kusoma vijarida vya kudanganyana huko... wenzio tunaingia uwanjani live.

Haya hebu nambie huyo Shaffi ni mtangazaji wa Radio gani?? Labda unitoe tongotongo machoni.

Mimi sijaleta ligi, wewe ndio umequote post yangu na kunishambulia mpira nimeujulia enzi za clouds sijui. Mi hata clouds yenyewe sijui ni kitu gani.

Mada ilikuwa wachezaji watatu, we ukaamua kujiongezea mchezaji mwingine, si ungeanzisha thread nyingine??? Au ulidhani mleta mada hamjui huyo Scholes wako???
 
akili yako ndogo siwezi kubishana na wewe ila achamihemko rudi kwenye comment yangu ambayo nimemantion scholes kwa mara ya mwanzo utaelewa..!!!
 
Kati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
  1. Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
  2. Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
  3. Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?

Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.

mbona hujawaita shoga zako Nifah , Mussolin5 , kadoda11 na UncleBen
 
akili yako ndgo siwezi kubishana na wewe ila achamihemko rudi kwenye comment yangu ambayo nimemantion scholes kwa maea ya mwanzo utaelewa..!!!
Punguza matusi... kuleta maneno ya kashfa kunakupunguzia thamani yako na kukuonesha namna ulivyo.

Mleta mada kaleta majina ya wachezaji watatu... Akitaka kati ya hao watatu aambiwe nani mkali zaidi... wewe unaleta wa kwako... alikuwambia hamfahamu Scholes?? Unajua kwanini hakumuweka kwenye list yake??

Hizo blue zinazidi kunidhihirishia nabishana na mtu wa namna gani.
 
ndomana nakwambia akili yako ndogo,kabishane na wajinga wenzio mjadala ulikuwa mzuri unaleta kufinywafinywa kwako hapa,sasa wewe umedandia uzi wawatu kuja kutoa kashfa alafu unanambia nianzishe wakwangu!!jinga youu
 
Nakushauri achana na soka, we kipaji chako ni taarab.
 
Pirlo ni deep-lying playmaker

Xavi ni Central / Attacking midfielder

Deco ni Central / Attacking midfielder

Ila kwangu mimi Andrea Pirlo " L'Architetto " hana mpinzani hapo.
 
Ndo hivo, Xavi na Iniesta ndo walikuwa wakifanya shuhuli zote then Messi anamalizia

Kwanza kabisa Mkuu Luq12! Messi sio mmaliziaji.
Pili-akina xavi na iniesta ubora wao umetokana na messi mwenyewe, wanapaswa wamshukuru sana Messi kawatoa mbali wawili hao, hata hao wengine akina Suarez , Neimar and teamates wanamtegemea Messi, bila Messi si chochote, mechi ngapi tunashuhudia wana-droo na hata kufungwa bila ya Messi, juzi tumedroo tena nyumbani.

Messi ndiye Barcelona yenyewe,Man of the match. Asipowepo tim inakosa mwelekeo inapelekea kufungwa ama kudroo.

Wewe fikiria tu Messi kaikuta Barca imejichokea sana na ilikua inaelekea kufa kabisa,lakini alivyojiunga huo mwaka 2004 matunda yakaanza kuonekana mataji yakaanza kumiminika. Huyo ndiye The King10/ La Pulga.
 
Back
Top Bottom