PingIdea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 363
- 183
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazungumzia Majeruhi sio ubora wa MessiUbora wa messi umepungua tofauti na kipindi cha nyuma
Messi wa sasa kawa moto zaid game nyingi anakuwa mwamuzi wa matokeo
Ubora wa zamani unauzungumzia ufungaji magoli, upo sahihi kwa vile alikuwa na jukumu moja tu la kufunga but ubora ninaouzungmzia wa sasa ni wakufanya vitu viwili kwa pamoja Kufunga na kuchezesha team (Assists zimeongezeka)
Uwepo wa Suarez na Neymar vinafanya majukumu yake ya awali kupunguzwa
Messi wa sasa ni bora zaid na Messi wa zamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukitaka kujua Google