Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!


Mkuu Pingldea! umemaliza kila kitu, na mjadala ufungwe....
 
Hvi jaman wengine huwa mnafkri kwa kutumia unyayo??? Ubora wa mtu hupimwa kwa mafanikio aliyo nayo....xavi ana mafanikio kuliko hao wengine....Pirlo ana mafanikio gan kumzidi xavi?? Huyo deco ana mafanikio gan?? Spain imechukua euro two times na world cup xavi ndo alikuwa master engine pale mwanzo mwisho bila hata sub....Barcelona imechukua makombe lukuki xavi akiwa Mashine kwelikweli akichukua mpira wapinzani wanahaha...mpak Ferguson alikuwa anatetemeka...xavi alikuwa hapotezi pasi ovyo ovyo anaweza poteza Mara mbili tu mpak mchezo unaisha...xavi anastahili kuwa kiungo bora kabisa kuwah kutokea....!!! Mnaodai kwamba xavi amebebwa na iniesta na messi kwani hao akina pirlo na deco walikuwa wenyewe tu uwanjani??? Kuibuka kwa xavi Barcelona kulifanya word class midfielder waondoke hii inaashiria jamaa alikuwa vizuri....tuache kujifanya tunajua wakati uhalisia unaonekana hata mtoto wa darasa la pili anaweza jua
 
Bro you are very smart, Messi ndo amewatengeneza hao, messi is something else, u cant compare him with anybody, walisema bila xavi or iniesta hakuna messi, lakin bado ana shine, na barca bila messi hamna kitu.
 
Bro you are very smart, Messi ndo amewatengeneza hao, messi is something else, u cant compare him with anybody, walisema bila xavi or iniesta hakuna messi, lakin bado ana shine, na barca bila messi hamna kitu.

Yap Mkuu Bencool..mimi huwa nashindwa kuwaelewa wanaosema messi bila xavi na iniesta hamna kitu 😀😀, xavi kaondoka messi anazidi kung'ara, iniesta majeruhi messi kama kawa, messi iZ something else bhana,hata akipewa wachezaji 7 uwanjani atafanya wonderZ.


Mkuu tofautisha kipindi cha Akina gaucho na hiki cha Messi utaona utofauti mkubwa sana. Gaucho ni mchezaji mzuri tu, lakini messi kitu kingine ni mchezaji wa kipekee na ameiwezesha tim yake kufika mbali kama tunavyo-ona, na kunyakua mataji mbali mbali ambayo kabla yake hakuna mchezaji yeyote aliyeweza kufanya hivyo! Haya ni maajabu kwa Messi.

Labda mwenye kumbukumbu kwa wachezaji waliopita kabla yake anaweza kutupatia data kama "kuna mchezaji aliyeisaidia tim/Barca au tim yeyote ile kunyakua mataji kama ambavyo tunashuhudia kwa Messi" naomba ajitokeze.
 
Kweli watanzania ni ni shiidah...yan umepost hvi na umekula like kama 5 hv.... But kuna wadau wengine wamepost vitu vikali hata like 2 hakuna...Tanzania ya viwanda


Wamenielewa, wewe hukunielewa na sidhani kama utanielewa kwa sababu u finyu sana katika kuelewa.
 
Xavi
 

Oya basi nawaomba msameheane na acheni ' kugombana ' na rudini sasa katika ' hoja ' sawa? Wote nawakubali kwa ' utaalam ' wenu na nawapenda hivyo msigombane na turudi kwa akina Deco, Xavi na Pirlo. Nadhani mtakuwa mmenielewa.
 
akili yako ndogo siwezi kubishana na wewe ila achamihemko rudi kwenye comment yangu ambayo nimemantion scholes kwa mara ya mwanzo utaelewa..!!!

Oya basi nawaomba msameheane na acheni ' kugombana ' na rudini sasa katika ' hoja ' sawa? Wote nawakubali kwa ' utaalam ' wenu na nawapenda hivyo msigombane na turudi kwa akina Deco, Xavi na Pirlo. Nadhani mtakuwa mmenielewa.
 
Xavi-ana control temper ya mchezo anaweza kuifanya timu icheze kwa kasi ya juu au chini,muda wote anauomba mpira ,na mchezeshaji imara ...xavi anaifanya timu iwe inamiliki mpira kila Mara kwakuwa muda wote anaomba mpira anatoa pass anatafuta chumba..master wa tiki taka

Pirlo deep lying playmaker,kiungo wa chini lkn mchezeshaji anayenyumbulika,mtaalamu wa mipira mirefu na ya chini,pass murua anatoa na mbunifu Mara nyingi huchukua mipira chini kwa beki za kati na kupandisha juu

Deco kiungo mchezeshaji lkn cyo kama walivyo pirlo na xavi ,yupo direct sana

1.xavi
2.pirlo
3.Deco

Pirlo namheshimu lkn xavi ni mtu mwingine timu yako akiwepo xavi basi lzm kiungo utawale ,muda wote commentator unamsikia akisema chavi,chavi,chavi ..huyu jamaa muda wote kichwa chake kipo juu kikitizama kulia kushoto, mechi ya Barca na Celtic alipiga pass 199 mpk ss record yke haijavunjwa..

Xavi kisha pirlo halafu deco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…