Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako cash iliyobaki.

NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Wakili msomi, mwanachama hai wa TLS, mwenye leseni ya uwakili https://ewakili.judiciary.go.tz) wa kikundi.

**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
 
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.

NB: Kuwa mwanachama Lazima kusaini mkataba chini ya Mwanasheria wa kikundi.
Safiii sana hii.....najipangaaaa
 
Kuna boya hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini na atapatikana tu.
 
Kuna watu wazur wengi TU na waaminifu.

"Risk management: 101"

Screenshot_20240921-134900.png
 
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.

NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Mwanasheria (wakili Msomi) wa kikundi.

**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Iko poa ikiwa mtakuwa na account bank na signatory muwe kikundi kizima....bongo tatizo umaliziaji
 
Karibu kwenye ya kwetu kila wiki tuna weka Tsh 1.5M tuko members 20 kwa mwaka siyo hela nyingi kila mmoja anatoa Million 312
Kwa pamoja tunakua tuna Billion 6 na million 240 tunaanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa
 
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.

NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Mwanasheria (wakili Msomi) wa kikundi.

**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Michezo hiyo fanyeni watu mnaojuana vizuri

Vinginevyo mnatafuta kupiga au kupigwa
 
Back
Top Bottom