900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Siku ya SabatoKikao cha Kwanza Jumamosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya SabatoKikao cha Kwanza Jumamosi
Hamkosi cha kukosoa. Msubirini Pdidy awanunulie magariSiku ya Sabato
Machoko mchuzi tena?Safi kabisa
Nilichelewa kuiona hii ,hakika ningejiunga alafu nawakabidhi kakadi kangu ka benki ,mshahara ukiingia mtoe hela yenu alafu mnitunzie kadi yangu na password ningewapa.
Ila Mimi gari ninalo nalipenda ni Corolla nzuri tu ,hiyo hela ningechkua nifanye biashara zangu za machoko mchuzi
Nyie wa mjini haya ya kijijini mtayajulia wapi tajiri wangu?Sikuijua hii
Ujuaji mwingi mpaka unapata wivu kwenye vitu usivyohusikaAtapigwa Mtu Kono La Nyani Aone Kizunguzungu Na Awe Admitted
Kutafuta umaskini tu,Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako cash iliyobaki.
NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Wakili msomi, mwanachama hai wa TLS, mwenye leseni ya uwakili https://ewakili.judiciary.go.tz) wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Matapeli at work.Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako cash iliyobaki.
NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Wakili msomi, mwanachama hai wa TLS, mwenye leseni ya uwakili https://ewakili.judiciary.go.tz) wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Kama huwez kaa kimya DadaHii ya wiki labda business people ila sio uwe employed
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako cash iliyobaki.
NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Wakili msomi, mwanachama hai wa TLS, mwenye leseni ya uwakili https://ewakili.judiciary.go.tz) wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Punguza shobo. Hatupokei watu tena. I'm sorryToka October 1 hadi sasa Desemba 26 zimeshapita wiki kadhaa ni watu wangapi washapata magari hadi sasa?
Punguza shobo. Hatupokei watu tena. I'm sorry