M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Safiii sana hii.....najipangaaaaKaribuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.
NB: Kuwa mwanachama Lazima kusaini mkataba chini ya Mwanasheria wa kikundi.
Kuna boya hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini na atapatikana tu.Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.
NB: Kuwa mwanachama Lazima kusaini mkataba chini ya Mwanasheria wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
1.6mSafiii sana hii.....najipangaaaa
Kuna watu wazur wengi TU na waaminifu.Kuna boya hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini na atapatikana tu.
Monthly......inafaaa sanaaa1.6m
Ni wewe utakavyoamua tu. Ukiamua kulipa kwa mwezi sawa, Kwa siku vile vile ni sawa tu.Monthly......inafaaa sanaaa
WA kwanza kufanywa nn?Niwe WA kwanza
Kila wiki @400,000Kila siku 400 parefu.
Iko poa ikiwa mtakuwa na account bank na signatory muwe kikundi kizima....bongo tatizo umaliziajiKaribuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.
NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Mwanasheria (wakili Msomi) wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Week sio mbaya.Kila wiki @400,000
Michezo hiyo fanyeni watu mnaojuana vizuriKaribuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika tunamkabidhi gari isiyozidi (TSH. 20m) toka yard ambayo tuna mkataba nao Dar es Salaam.
NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Mwanasheria (wakili Msomi) wa kikundi.
**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Hii ya wiki labda business people ila sio uwe employedKaribu kwenye ya kwetu kila wiki tuna weka Tsh 1.5M tuko members 20 kwa mwaka siyo hela nyingi kila mmoja anatoa Million 312
Kwa pamoja tunakua tuna Billion 6 na million 240 tunaanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa