Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Karibu kwenye ya kwetu kila wiki tuna weka Tsh 1.5M tuko members 20 kwa mwaka siyo hela nyingi kila mmoja anatoa Million 312
Kwa pamoja tunakua tuna Billion 6 na million 240 tunaanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa
Hesabu ndogo hivi unachemka, hesabu za kundi lote kama wewe ndio mhasibu utakuja ulipe madeni yasiyo na kichwa wala miguu.

1,500,000 x 20 x 52 = 1,560,000,000/yr
Kwa mtu mmoja ni 78,000,000/yr
Kwa kikundi cha watu 20 ni 30,000,000/wk
 
Jambo kama hili linaishiaga kwenye uhasama. Kuna watu hapa lazima walizwe.
 
Hesabu ndogo hivi unachemka, hesabu za kundi lote kama wewe ndio mhasibu utakuja ulipe madeni yasiyo na kichwa wala miguu.

1,500,000 x 20 x 52 = 1,560,000,000/yr
Kwa mtu mmoja ni 78,000,000/yr
Kwa kikundi cha watu 20 ni 30,000,000/wk
Tutakuajiri uwe muhasibu wetu ila utalamba mshahara wa laki na 20 kwa mwezi uko tayari?
 
Aisee
Na wapo mabwege wataingia king hapa
 
Sasa si ni sawa wewe mwenyewe uhifadhi hizo 400k kila wiki, ndani ya wiki 52 utakuwa na 20,800,000...

 
Laki nne kwa wiki; kwa mwaka itakuwa (400,000/= x 52 = 20,800,000/= kwahio mtu akiweka pesa hizo mwenyewe kwa mwaka ataweza kununua gari mtakayompa.....

Mpo 20 kwahio wiki ishirini baada ya kuanza kila mtu atakuwa kapata gari.., which means kikundi chenu kitakuwa na deficit ya kulipa hio yard...

Sasa maswali mtu akishapata gari na tuseme sio tapeli akalipa hio miezi 52 what happens wiki ya 53 atalipa ili anunue nini ?

Okay umesema gari thamani 20m vipi akinunua la 10m hio difference inakwenda wapi ?

Je mtu hatakuwa better off kusema hizo pesa aweke kwenye mpesa kila wiki ili baada ya mwaka azitoe na kununua hilo gari (nadhani atakuwa amepata na mpesa faida)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…