Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Safi kabisa
Nilichelewa kuiona hii ,hakika ningejiunga alafu nawakabidhi kakadi kangu ka benki ,mshahara ukiingia mtoe hela yenu alafu mnitunzie kadi yangu na password ningewapa.

Ila Mimi gari ninalo nalipenda ni Corolla nzuri tu ,hiyo hela ningechkua nifanye biashara zangu za machoko mchuzi
 
Machoko mchuzi tena?
 
Kutafuta umaskini tu,
Miezi kadhaa iliyipita, nilipata tenda ya kutafuta kiwanja cha kukodi, aliyekuwa anakitaka, nikafikiri Ana Jenga kiwanda, kumbe kafungua kanisa!akili za mwafrika,
Jana, nimekutana na vijana wa kichina,wanataka kiwanja cha kukodi, ili wajenge service centre ya magari ya Ford, umeme, Toyota, nk!
Akili kubwa,
Bakheresa akinunua Lexus ya milioni 500,yeye kwake ni status, sio sawa na muajiliwa salary chini ya 7M, unanunua IST ya 15M, hii kwako ni chanZo cha umaskin
 
Matapeli at work.
 

Kesi ya uhujumu uchumi ya baadae hii!
 
Toka October 1 hadi sasa Desemba 26 zimeshapita wiki kadhaa ni watu wangapi washapata magari hadi sasa?
 
Punguza shobo. Hatupokei watu tena. I'm sorry

Shobo iko wapi hapo? Nimekuuliza maendeleo ya kikundi chenu toka kikundi kianze Octoba 1 hadi sasa ni wiki saba. Ni watu wangapi hadi sasa wamepatiwa magari?

Kingine wewe ni kiherehere chako kimekutuma kuja kufufua huu uzi acha uboya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…